Hakumbaka na angeweza kumwoa ila ingemlazimu kupata ridhaa ya wazazi wake na Lulu kwa sababu ya umri. sheria inaruhusu mwanake mwenye umri wa miaka 14-17 kuolewa ila kwa ridhaa ya wazazi wake. Pia asiwe mwanafunzi
mshikaji ni jembe. amewachapa kiboko magamba mpaka wamefurahi wenyewe. Mwenyewe binafsi nimetokea kumpenda toka pale Mzee Ben alipompakazia mbovu kwamba cyo wa familia ya mwalimu na yeye kujitetea na hakukata tamaa. Yah the man is gud.
Dena Laway .orok. Ila binadamu wote si sawa. Kila mmoja na tabia za na huenda kweli chaguo lake la kwanza halikua sahihi hiyo si vibaya akapewa nafasi tena. Huenda alishinikizwa kumwoa hyo mwanamke so u just give him another chance.
Ah si wameona chadema wanaleta uhai.sasa wanataka kudidimiza moto wao. Ila ule moto hauzimwi kwa mitutu, wao wajipange na sera za kueleweka. Siyo miguvu
Mimi nasubiri mpaka wadau wengine wa ku risk wapate. Alafu vp wanatafuta ajira za makampuni ya wahindi tu au hata serikalini.?. Ila mh hao kama cy wachaga basi wakenya. Isije ikawa ndo DECI ya watafuta ajira.
Jamani mi mnisamehe. kwanza anayesema january au ridhwani anagombea urais 2015, mi naona hizo ni ndoto tu, maana wale wanaonekana nyanja za kisiasa bcoz wazee wanawabeba. siyo wanawapendelea hapana,ila wazee wao ndo wako kwenye system, lakini siku wanaachia uongozi na wanao utaona kimya. kwani...
Jamani wana JR samahaninini sana mi mwenyewe nimetoka jimbo la babati vijijini, sisi tumehongwa vitishe na mhindi moja wa ccm ila kura zote tumempa mh.tara wa chadema.
Problem ya babati mjini ni mahali ambapo pamekaliwa na jamii ya watu wanaitwa warangi. mrangi ukimpa chochote tayari...
Kaka ukiangalia matokeo ya mikoa ya lindi na mtwara na dodoma unapata kichafuchefu kabisa. yani watu wamelala kabisa.
Last night nilikua naangalia matokeo ya urais ktk vituo vya kariakoo yani huwezi kuamini CHADEMA walikua wanapata kua 10, 12, 15.THEN IMAGINE chadema hao ndio wamechukua majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.