Kama unatafuta kazi suluhisho lako lipo hapa-ba recruitment agency

Mr himo one,mi nshalegeza kamba!sasa nili2ma ile application form then mkanambia sijajaza baadh ya sehemu ila mlivoreply hamkuattach na ile form nijue wap mwataka nijaze!sasa sijui imekaaje hii!EMAIL nilotumia inaanza na jina la loveness!na jina la vyeti ni upendo!fanya mambo himoo
 
mr himo one,mi nshalegeza kamba!sasa nili2ma ile application form then mkanambia sijajaza baadh ya sehemu ila mlivoreply hamkuattach na ile form nijue wap mwataka nijaze!sasa sijui imekaaje hii!email nilotumia inaanza na jina la loveness!na jina la vyeti ni upendo!fanya mambo himoo

ok,nakutumia sasa hivi usilegeze kamba
 
Aisee hii ni DESI mkuu next Level kaeleza vizuri sana,Himo One and Co. Taja kampuni 3 tu kubwa ambazo mnamkataba nazo
 
wadu msidanganyane na msitumie uzoefu wenu wa kuingizwa mjini kuwadanganya watu na kuwakatisha tamaa watu wanaotafuta kazi,

ba recruitment agency ni wa kweli na wanafanya kazi zao kwa uhakika na haraka,mimi nimfano wa watu waliohudumiwa nao na nimepata kazi kwa haraka kuliko nilivyodhani,

binafsi nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita nimefanya vitample hapa na pale bila uhakika na wakati wote huo nilikuwa nafanya application kila recruitment agency unayoijua hapa dar-es-salaam kuna application yangu na hata wafanyakazi wa hizo agency wengi wao ni marafiki zangu lakini nataka niwaambie ukweli hao wanaosema wanatoa kazi bure ni uongo wanachukua rushwa kwa baadhi ya watu na ndio wanawapatia kazi tena rushwa yenyewe ni zaidi ya hiyo elfu hamsini ya ba ra,mimi nimewahi toa hela kwenye hizo recruitment agency zaidi ya laki saba lakini sijawahi pata kazi kila mara wanakupigia simu njoo kwa interview wanakuuliza maswali lakini no job; no what; wanakuwambia watakupigia hawakupigii ng'oo.

ba ra ni kampuni ya muda mrefu na ni ya kimataifa sema walikuwa wanatumia jina lingine na walikuwa wanafanya biashara nyingine wamebadilisha jina mwezi uliopita na wapo hapa dar Mbezi beach ila hawajafungua ofisi rasmi hili ni jambo la kawaida ulimwenguni kote watu wanataka contact na efficiency sio address zisizona mafanikio,wamebadilisha jina mwezi uliopita kutokana na matatizo ya share zao.

ukweli ndio huo ba ra wamenisaidia kwa shilingi elfu hamsini tuu; nimepata kazi lem and len tabata na nitaanza january 2 na watachukua 20% ya mshahara wangu mmoja tuu wa kwanza,kama unataka ushauri zaidi njoo pale tabata january nione mimi finance manager mpya nitakuhakikishia jinsi gani ba ra wanaaminika.

acheni kusikiliza maneno ya wafa maji wewe k=unaetafuta kazi ndio unajua adha ya kukaa bila kazi wengi hapa jf ni mabwanyenye wako ofisini hawana kazi wanachat tuu na kukatisha watu tamaa.elfu hamsini sio kitu ni hela ndogo sana we have to take risk hata kama ingekuwa laki tano,

Hah! Hah! Hah! Ungeniambia cashier ningekuelewa.
 
samahani mbona wewe unaonekana kuitetea kwa uchungu na kujua details nyingi za hii kampuni kuliko wenye kampuni waliotuma post? tetea ya huyo himo one haina uchungu kama wewe.

Anyways kuna walakini katika hili clarification zitolewe na muwe na ofisi
 
Ahsante Murefu tumekusikia tumekuelewa,samahani sana sisi sio wezi,kama na wewe unatafuta kazi au una ndugu,jamaa,majirani na marafiki wanaotafuta kazi hii ni nafasi yenu ya kweli tumeni cv zenu patakazi1981@gmail.com bila wasiwasi na kwa uhakika mtapata kazi mara moja.
wacha utapeli hizo kazi ni zako hadi uwape guarantee? qualifications zao mwazijua? soko la ajira duniani kote limetikisika tangu mwaka jana ....USA yenyewe ni issue kupata kazi hata kama una sifa sembuse Tanzania??? Huu ni utapeli wa waziwazi we mchaga wa HIMO.
 
Nguli umenisoma vizuri eeeeh?

Sana tu mkuu, nimemtaka huyo Himo sijui Marangu one, atutajie kampuni 3 tu kubwa ambazo anamkataba nazo ilitufanye reference/cross check, akasepa. Kwa vile ni yakitapeli na uzushi anaogopa kuabika. Na sijui serikali iko wapi muda wote huo isikamate hao vimeo kabala hawajaliza watu.
 
Guyz what happening iz the same to deci.
Hawa jamaa wanachofanya ni kukusanya hizo elf50 na kujaribu hata kuhonga ili hawa wamwanzo wapate kazi ili kuvuta watu zaidi.
watu wakiona wenzao wamepata kazi wanaanza kumiminika, wakikusanya za kutosha wanasepa na kuwaachia emal addres ya .gmail.
Hata deci kuna watu walivuna pesa ya maana mwanzoni lakini kilichofuata wote mnajua.
As a great thinker umewahi kujiuliza yafuatayo kuhusu hii agency?
Je wamesajiliwa na wanatambulika.
Kwa mujibu wa tangazo lao kampuni ya muda mrefu, iweje hawana ofisin, na kama inarekebishwa wameshindwa nini kukodi hata vyumba viwili walau.
Usaili gani unafanyikia ktk mahotel makubwa tu.
Wataje walau makambuni kadhaa walio ingia nao mikataba tukross check.
Hawajamaa ni matapeli tena from now on im going to report this to authority to see if they real exist and work legally.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Mimi nasubiri mpaka wadau wengine wa ku risk wapate. Alafu vp wanatafuta ajira za makampuni ya wahindi tu au hata serikalini.?. Ila mh hao kama cy wachaga basi wakenya. Isije ikawa ndo DECI ya watafuta ajira.
 
Kama ni reliable kwanini wanatumia gmail account? achane kuwaibia watu
 
Kazi kweli kweli! Hii ni kampuni ya mfukoni tu! Recruitment Companies zingine ukwambia ni wapi kuna kazi na mambo mengine pia huwekwa wazi. Mod huyo jamaa aliyetoa taarifa hii atutake radhi wana JF kabla hatujashugulika naye.
 
himo one, popote ulipo jiandae kupambana na dola, taarifa zako zimeisha fika kwa wahusika
 
NDUgU WADAU NA WANAJAMII WOTE,NAOMBA KWANZA KUWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA

NAOMBA KUCHUKUA FURSA HII PEKEE KUWASHUKURU SANA WAKUU NA WAMILIKI WA JAMII FORUM KWA KUTUPA NAFASI NA KUENDELEA KUTUPA NAFASI KWA AJILI YA WATANZANIA WATAFUTA AJIRA NA KWA AJILI PIA YA MAKAMPUNI ,MASHIRIKA NA WALE WOTE WANAOTAFUTA WAFANYAKAZI.NAPENDA KUWASHUKURU WALE WOTE WALIOTUAMINI NA KUSHIRIKIANA NASI KWA MWAKA ULIOPITA NA NAOMBA SANA WALE WOTE AMBAO WAMEPATA KAZI KUPITIA BA RA WAJITOKEZE HAPA MARA WAPATAPO NAFASI NA WAELEZE JINSI BA RA ILIVYOWASAIDIA ILI WANAJAMII WOTE WAJUE NA KUHESHIMU KAZI ZA MIKONO YETU.

NA WALE WALIOKWISHA LETA APPLICATION ZAO KWETU NAWAOMBA WASUBIRI KWANI BA RA INAFANYA JUHUDI KUBWA SANA KUHAKIKISHA KILA MTU ALIEJISAJILI NASI ANAPATA KAZI ALIYOIHITAJI NA TAYARI WENGI WAMESHALIPA ADA ZAO ZA USAJILI(50,000)NA NI JUKUMU LETU KUHAKIKISHA KUWA KILA MMOJA ANAPATA KAZI KAMA YALIVYO MAKUBALIANO YETU.

NAOMBA PIA KUWAHAMASISHA WANAJAMII AMBAO HAWANA KAZI NA WANATAFUTA KAZI,BA RA IKO KWA AJILI YAKO EWE MTANZANIA AMBAE KWELI UNAHITAJI KAZI NA HUJAPATA SISI TUPO NA KAZI YETU NI KUKUTAFUTIA KAZI KARIBU JISAJILI NASI TUMA CV YAKO patakazi1981@gmail.com NA SISI TUTAWASILIANA NAWE MARA MOJA.

NDUGU WADAU NAPENDA KUWAAMBIA KUWA TUMEONGEZA WATEJA WETU MARADUFU KWA SASA TUNA WAOMBA KAZI MIA NNE NA KUMI(410) NA TUNA MAKAMPUNI/MASHIRIKA NA WATAFUTA WAFANYAKAZI MIA MOJA NA TATU (103) KATI YA HAYO 65 YAKO WELL ESTABLISHED NA NI YA MUDA MREFU MENGINE NI MAPYA NA 22 YANAFUNGULIWA MWAKA HUU WOTE HAO NI WATEJA WETU NA WANA NAFASI ZA KAZI NA ZOTE HIZO NI KWA AJILI YENU WATANZANIA.

NAPENDA KUMALIZIA KWA KUWAOMBA WALE WOTE WANAOKATISHA TAMAA WANANCHI NA WASAKA AJIRA KUACHA TABIA HIYO MARA MOJA KWANI HAISAIDII NA HAIJENGI SISI SIO DECI SISI SIO MATAPELI,SISI NI WAZALENDO WATANZANIA WENYE NIA NJEMA .

KARIBUNI SANA BA RA TUIJENGE TANZANIA TUNAYOITAMANI

WITH DUE RESPECT I BERG TO PRESENT
 
NASHUKURU SANA NDUGU YANGU EA AU HIMO ONE ,NAOMBA NIWE WA KWANZA KUJITOKEZA KUISHUKURU BA RA KWA MATENDO MAKUU MLIYONIFANYIA,ASANTENI SANA KWA KUNIPATIA AJIRA YA KUDUMU,NI KWELI KABISA MAISHA YANGU YAMEBADILIKA SASA,NAOMBA KUWAAMASIHSA WANAJAMII WAJIUNGE NA BA RA KWANI NI MSAADA WA KWELI,NA WALE WANAOPONDA WAACHE TABIA HIYO KWANI HUU SII UUNGWANA NA KAMA HAMUAMINI NIULIZENI MIMI NI PM NITAKUPA NAMBA ZANGU NA EMAIL YANGU TUTAKUTANA NA NITAKUELEZA KILA KITU

Asanten sana BA RA endeleeni na moyo huo na msikatishwe tamaa na wanajamii wenye mtazamo hasi.
 
Thanks for that but despite filling your forms you haven't respond my inquiry of knowing charges or expenses hope for your responses soon and good lucky to both, u and me!!
 
Thanks for that but despite filling your forms you haven't respond my inquiry of knowing charges or expenses hope for your responses soon and good lucky to both, u and me!!

Thanks Babacolins my people will send u the details immeditely,they have to deal with more than 50 people per day thats why some delays may happen pls be patient

Thanks for your repply too
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom