Elections 2010 FAKE: CHADEMA walichukua jimbo la Mbeya vijijini

Nasisitiza siyo kweli..kama ni matokeo bado...Mimi ni mdau sana wa Uchaguzi huu, kwahiyo tusidanganywe na mafisadi!
 
Jamani tupeni data za uhakika mtatupa presha wandugu! Please mwenye Data atuhakikishie!
 
comfirmed niko sentimrta 12 kutoka umbal wa tv. meja na chadema juuuuuu timu inaelekea kukamilika
 
Hili Jimbo Mawakala wa CHADEMA wamekuwa wazembe limekwenda CCM
 
Jamani acheni kuturusha roho, toeni data kama hakuna usiseme kitu tu au jambo kwa sababu ya jinsi unavyotaka liwe!!!!
 
Mbeya vijijini alishatangazwa mgombea wa CCM kuwa ndiye mshindi na raia hawakubaliani na matokeo na wameandamana.
Huyo aliyeleta taharifa hizi ni mwongo na mzushi.
 
Hivi neno CONFIRMED jamani tunalitumiaje kwa kubahatisha?
Tafadhali wakuu, unapotamka hivyo ni njema ukileta ukokotozi wa data!
 
Hawa members walio anza November wana matatizo sana hivi hakuna njia ya kuwadhibiti kwa kipindi hiki!!
 
imenilazimu kupiga simu mbeya,majibu ni kwamba si kweli chadema imeshinda mbeya vijijini,ni ccm ndo wameshinda.
 
Ni kwamba jamaa wa ccm amechakachua hadi amekosea..Kata yenye wananchi 100 amejaza kwenye fomu kwamba amepata kura 800, kitu ambacho hakipo bado hapa duniani!
Kwahiyo kuna vurugu sana huko, na zimelia vibaya mno mchana kutwa(si unajua mambo ya peeeeooooopleeesssss!!power!
 
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Du!!! huu ni uzushi mtupu!!!!!!!!!!!!!!!
nimeongea na mdau wa huko mambo bado
na inavyoonekana kuna uwezekano sisiem ikashinda
maana CHADEME kapata kura nyingi maeneo ya Mbalizi ila kwa huko vijiji vya mbali
wananchi wamelishwa yamini ya sisiem
 
Nisicho elewa kwenye uchaguzi huu Chadema kushindwa kupata viti hata 50........kweli CCM ni kiboko wa kuchakachua matokeo........Ila la kujifariji mbunge mmoja wa Chadema ni sawasawa na 50 wa CCM kiutashi..........................
 
Back
Top Bottom