Mtoto wa JK Ridhwani amekuwa akitajwa katika matukio mbalimbali yasiyopendeza kwa Watanzania.Ametajwa kuvuruga uchaguzi Shinyanga mjini na hiyo aliyotajwa na Dr.Slaa.Maneno anayotoa kwa Dr.Slaa si ya kiungwana kwani Dr. ni mzazi wake.Sasa asiyefunzwa na mamaye huvunzwa na ulimwengu.Katika awamu zote za urais hapo TZ haijawahi kutokea familia kujihusisha na uongozi wa nchi ambayo katiba inaainisha wazi viongozi.TZ inaelekea wapi kwa hali hii?WANA JK NAOMBA MAONI YENU KWANI MIMI NIKO NJIA PANDA.
Vijana sasa tumechukua jukumu la Kuongoza Nchi, Lakini HuYu mwenzetu Ridhiwani ana Malengo gani hata aweze kuzungumza mambo kama haya?
Je katiba ya Nchi inasemaje?
huko ni kumuogopa kufikiria kuwa hoja akitoa ridhwan ametmwa na mheshimiwa wanakosa kujiamini.
Poa ndio staili mpya ya president mwenye familia makini na wewe jishughulishe
i can see that that young man ridhiwan has joined a wrong career, may be he could have been an an economist getting involved in planning or an it personell.he is neither a good public speaker nor a persuasive character. I strongly doubt if his decision to join politics wa triggered by his ambition to serve the general public. Huyo kijana inabidi aelewe kwamba hapa tanzania na africa kwa ujumla kulishatokea watoto wengi ambao baba zao walishakuwa maraisi tena prominet ones and highly respected international figures, such as julius nyerere, president ally hassan mwinyi, kwame nkurumah, mandela of south africa, the late prime minister balewa wa nigeria na wengine wengi tu.wote hao watoto wao hawakuwahi kuonyesha arrogance yoyote wala kuwa centre stage of controverse kwa general iliyokuwa ikiongozwa na baba zao.
huyu kijana bado anasafari ndefu ya kwenda, na kama kweli anataka aje kuwa kiongozi mzuri wa tanzania ya baadae basi ajikite kujifunza mbinu za uongozi bora na aanze kutekeleza kwa vitendo.kinyume cha hapo akiendeleza majigambo na kujiona eti ni mtoto wa president ajue hatapata peoples' support na hivyo he will just be ignored by the public hata kama atakuwa akibebwa kwenye uongozi. Amuombe mungu akupe hekima na busara kwenye maisha yake.urais wa baba yake amuachie mzee wake awatumikie watanzania hadi kipindi chake kitakapokamilika.
Kilaza na tafasiri tu kaka bora ana akili za Kuweza kuvaa suruali zinamtosha we na ukipanga wako umekusaidia nini. USIlete manenoya luhanga Anasema yeye ndo Jiniasi akawadharau waliosoma masomo ya Arts wakiitwa Ngwini. Alipostaafu ndo akawajua umihimu wao walimpa mafao hata ya Mwl wa shule ya msiingi afadhali. watu wote sawa.
Nawewe usije kuwa Mkali wakati ulisoma Arts
huyu dawa yake ndogo, tunamwekea sumu kwenye K..lazma akamatike
Ni aibu kubwa kwa CCM, yaani Familia ya kiongozi mgombea kujipigia kampeni, hiki chama kimeshakosa Mvuto na Dira. yako wapi maadili ya Chama? Inafikia hatua Ridhiwani anakuwa kama:-
i) Makamu Mwenyekit wa Chama
ii) Meneja wa kampeni
iii) Mtunza pesa za Chama
iv) Mkuu wa intelligensia ya chama
Yaani ukikorofishana au kutofautiana naye kidogo tu basi .....umepotea....Kumbukeni ya Masauni.
Nahomshauri Dogo:
Ajiepushe kabisa na Siasa, asithubutu kujibu vitu ambayo anafikiri watanzania wote ni mabumbumbu, asijipalie makaa kujibizana na CHADEMA. atulie ale pesa zake kwa amani.
Hata January ni rubbish tu vaccum.Tabia yake kweli hata mimi imenikera sana....Lazima Kikwete aweke limits kwa familia yake kujihusisha na mambo ya hii nchi...Hata kama Slaa alimtuhumu kwa lolote lile,angetumia busara kum-confront...Au kafundishwa na baba yake hiyo ndio njia ya kuingia kwenye siasa???
Ajifunze kwa Januari Makamba...
Rubbish!
Mbona huko Chadema jina la mke wa mgombea urais limepelekwa kwenye orodha ya wabunge wa viti maalum? Mbona jina la mke na mtoto wa Ndesamburo nalo limepelekwa kwenye orodha ya wabunge wa viti maalum? Kweli nyani haoni mkalio wake mweee!