Recent content by LUCAS HOOD

  1. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu tatizo langu la urethra stricture

    ndugu zangu kwema, asanteni sana kwa kunipa moyo niko hapa kuwataarifu kuwa nimepona baada ya kufanya operation nchini india july 2024. sasa nipo vizuri. GOD IS GOOD 🙏🏽
  2. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu tatizo langu la urethra stricture

    Ndio natak ni apply kwasababu tatizo ni kubwa nawaza INDIA wanaweza nisaidia
  3. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu tatizo langu la urethra stricture

    Habari zenu wana jamvi, Bila kupoteza muda mimi ni kijana mdogo 20s Nimepata TATIZO naliona pigo kubwa katika maisha yangu. Nilipata ajali niladondokea kinena yani njia ya mkojo ikaziba kabisa ila jogoo anawika. Nipo katika process ya matibabu ila natumia CATHETER kujisaidia haja ndogo mwezi...
  4. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaniuwa pia
  5. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Mifugo Hifadhi ya Ruaha ni balaa

    [emoji23][emoji23]hakuna sera, wakati umebadilika ila hatuna viongozi wenye mipango.. Mawaziri wetu hawana tija (wenge wao) kulingana na sekta zao huyu mama anaelemewa sana.... Sioni haja ya Waziri kuteuliwa kwa kigezo cha ubunge!!!!!
  6. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Majira yamebadilika, na sisi lazima tubadilike
  7. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Nakazia
  8. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Pwani kuna matunda yaliwayo kimasihara
  9. LUCAS HOOD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

    Wacha mbwa ale mbwa
  10. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Napata faida ghafi kwa siku 400,000=lakini mtaji hauongezeki

    Uswahili upo kuna siku nimeingia job ,fungua droo huez Amin pesa zimeliwa na panya Zote zaidi ya 300k . Sitoisahau
  11. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

    Calculator sio unakaa nayo full time ila kuna upuuzi unaitwa logarithm lazima utumie
  12. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

    Apo kuna zero nshaiona kabisaa.
  13. LUCAS HOOD

    JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Kama nakuona vle
Back
Top Bottom