Naombeni ushauri kuhusu tatizo langu la urethra stricture

Naombeni ushauri kuhusu tatizo langu la urethra stricture

ndugu zangu kwema,
asanteni sana kwa kunipa moyo
niko hapa kuwataarifu kuwa nimepona baada ya kufanya operation nchini india july 2024.
sasa nipo vizuri.
GOD IS GOOD 🙏🏽
 
ndugu zangu kwema,
asanteni sana kwa kunipa moyo
niko hapa kuwataarifu kuwa nimepona baada ya kufanya operation nchini india july 2024.
sasa nipo vizuri.
GOD IS GOOD 🙏🏽
Shida urethra ilikua nanini mkuu?
 
tatizo umeanzia hospital za private ,udalali ni mwingi
anyway urethral stricture zinatibiwa sana tu hapa bongo kwa operation inaitwa EPA (EXCISION AND PRIMARY ANASTOMOSIS)
Msaidie ni hosp gn kwa kuanzia ht kum link na dr kbs. Mungu akubarik
 
Back
Top Bottom