Mifugo Hifadhi ya Ruaha ni balaa

Mifugo Hifadhi ya Ruaha ni balaa

Sawa Sawa
Mifugo Tunaipenda Hifadhi Za Wanyama Pia
 
Tatizo watu wanataka kufuga kama wako 1960, haiko sustainable. Huwezi kufuga kwa kutangatanga na maelfu ya mifugo karne hii.
hakuna sera, wakati umebadilika ila hatuna viongozi wenye mipango.. Mawaziri wetu hawana tija (wenge wao) kulingana na sekta zao huyu mama anaelemewa sana....
Sioni haja ya Waziri kuteuliwa kwa kigezo cha ubunge!!!!!
 
Ufugaji wa asili ndo unafanya wengi walau wanakula nyama, bila wasukuma kuhamia lindi na mtwara, kwa mfano, maeneo hayo nyama ilionekana kama anasa.

Hivyo mkitaka kuhamasisha ufugaji wa kisasa na wa kibiashara wengi wa watu nyama wataishia kuisikia harufu tu, maana hawatamudu kununua.
Wanakofuga kisasa watu hawali nyama?

Umeishia darasa la ngapi?
 
Ni kama wafugaji wa Tanzania hawaelewi umuhimu wa maeneo yanayohifadhiwa na kilindwa kwa maslahi ya Taifa linapokuka suala la wao kuwapatia malisho mifugo yao.

Ni kama pia idara za serikali zinazohusika na usimamizi wa Mifugo zimeshindwa kudhibiti ama kuratibu namna bora wananchi wananweza wakafuga mifugo yao bila kuathiri maeneo muhimu yanayohihifadhiwa nchini.

Eneo la Hifadhi ya Ruaha sio tu muhimu kwa utalii bali ni chanzo kikuu cha maji yanayokwenda bwawa la Mtera linalozalisha megawatts 80 za umeme ambapo kwa sababu za uharibifu wa vyanzo vya mito hiyo ikiwemo eneo Oevu la Ihefu bwawa la Mtera limekauka na kusababisha upungufu wa umeme.

Ni muhimu kujua pia Hifadhi ya Ruaha ndio maji yake yanakwenda bwawa la Kidatu linalozalisha megawatts 204 za umeme na kisha maji hayo hayo kuunganana na maji kutoka mito ya Kilombero kujaza bwawa la Nyerere linalotarajiwa kuzalisha megawatts 20115.

Kama jitihada za makusudi hazitachukuliwa kudhibiti uhalifu na uvamizi wa maeneo oevu, maeneo yanayohifhadhiwa, vyanzo vya maji n. k haditihi ya kuisha kwa Mgao wa Umeme itaendelea kuwepo milele na milele.

Kama jitihada za makusudi hazitachukuliwa kudhibiti uhalifu na uvamizi wa maeneo oevu, yanayohihifadhiwa, vyanzo vya maji n.k. Hadithu ya Mgao wa Maji na kukosekana kwa maji Safi na Salama haitakaa iishe nchini.

View attachment 2819528View attachment 2819530View attachment 2819532

Sent from my Infinix X6716B using JamiiForums mobile app
Wewe mrongo kwahiyo bwawa linazalisha megawat 20115 au umechanganya na bwawa la kazimkazi...mchaga gani mrongo au wewe mchaga toleo la mwisho
 
Ushindwe na ulegee. Wewe ni wakala wa shetani unayetumika kuwaangamiza wafugaji. Uhakika ni kwamba hautafanikiwa. Nini faida ya kuwa na nchi ambayo hatutumii kuzalisha mali? Stop being a devil agent.
 
Kati ya kilimo na ufugaji, kipi kinaharibu mazingira? Mifugo Inaweza kulisha katika hifadhi wakatoka na hifadhi inakendelea kutunza wanyama, ndege, wadudu na mime a. Kwa kilimo unaishia kuharibu kila kitu.
 
Unajua gharama za kufuga kisasa wee kiazi, kichwani kama umejaza uharo ni ngumu kunielewa.
Kwa hiyo hutaki kuingia gharama alafu u atupa gharama za maisha kwa kuharibu mazingira? We mzima kweli?
 
Kwa hiyo wakulima wanapopanua mashamba yao hawaharibu mazingira? Wewe unapozurura huko na huko na mkweche wako au kwa kupanda daladala na kuzalisha hewa ukaa huharibu mazingira? Unapozalisha hewa ya ukaa kwa kupika, kupumua na kujamba hovyo huharibu mazingira? akili zimo kichwani?​
 
Hoja inayojadiliwa hapa ni mimi, wakulima au wafugaji?

Mbona kama umechanganyikiwa?
 
Ufugaji wa asili ndo unafanya wengi walau wanakula nyama, bila wasukuma kuhamia lindi na mtwara, kwa mfano, maeneo hayo nyama ilionekana kama anasa.

Hivyo mkitaka kuhamasisha ufugaji wa kisasa na wa kibiashara wengi wa watu nyama wataishia kuisikia harufu tu, maana hawatamudu kununua.
Watu hawajui tu, wanataka ufugaji mkubwa uhodhiwe na makampuni sijui ndio waone tumeweza.

Halafu miaka saba baadae waanze kusema ona hata kufuga tu tumeshindwa, sijui babubuangu alikuwa na ngombe buku ona leo vijana hamna kitu. Ujingatu
 
Hivi kweli mpaka hapo ulipofikia huoni vile Mifugo inavyoaribu hifadhi..?

Bila Shaka wewe ni miongoni mwa janga la wadugaji
Mimi ni sehemu ya suluhisho.

Wewe upo upande mmoja wa mvutano na wafugaji wapo upande wa pili

Ngoja nikutafutie video ya hii sayansi. Ambayo tunazungumzia hapa sio tu kuzuia uharibifu wa mazingira. La. Bali ni kuhuisha na hadi kukijanisha mahala ambapo ni jangwa 😱😱

View: https://youtu.be/vpTHi7O66pI?si=PBIrH-3Aydvawi64
 
Kati ya kilimo na ufugaji, kipi kinaharibu mazingira? Mifugo Inaweza kulisha katika hifadhi wakatoka na hifadhi inakendelea kutunza wanyama, ndege, wadudu na mime a. Kwa kilimo unaishia kuharibu kila kitu.
Exactly

Kabisa kabisa, na kushtua kidogo ardhi na kuinyea kiasi kunasisimua uoto kuliko ardhi ingebaki kupigwa na upepo tu.

Hao wahifadhi wasitukaririshe, waje na sayansi kamili sio porojo tu
 
Mkuu mimi lawama zangu nazielekeza kwa government maana imeshindwa kuleta sera ambayo itambana mfugaji ili awe na kundi ambalo litahimiliwa na maeneo wanayomiliki,migogoro mingi ya wafugaji na wakulima chanzo ni wafugaji,watu wanauliwa na wafugaji kisa maeneo ya malisho.

Mimi nawachukia sana wafugaji kwani hawazingatii wakulima kabisa , wao wanachojali ni mifugo yao ishibe tu,hapa kwangu ninajirani kila mara tunagombana kisa mifugo kuingia ndani ya eneo langu kisa tu eneo langu ni kubwa na kuna nyasi,shida ninayo ipata ni miti kulishwa na ngombe.

Nashauri serikali iwabane hawa watu ni janga kWa taifa,kila mfugaji awe na eneo la malisho ambalo litatosha kuhifadhi mifugo wake na iwe marufuku kuchungungia kwa eneo la mwenzake bila kibari.

Serikali iache kuogopa kupoteza kura za wafugaji huku wakiharibu mazingira na kusababisha migogoro ambayo olinapelekea mauaji
Yaani binadamu hatuelweki tunataka nn. Nyama tunapenda, umeme tunautaka na wali tuna upenda.
Hapa lazima tukubali kupunguza kimoja au vitu viwili ili kimoja kiwe zaidi
 
Tatizo ni wao pia ni wanufaika

Unanikumbusha , kiongozi mmoja alikuwa na ng’ombe wake yeye yuko dar lakin ameajir watu wa kuchunga. Wakikamatwa ndani ya hifadhi ,inapigwa simu kwa viongozi waanchiwa.
Ilikuwa inavunja moyo wapiganaji
 
Back
Top Bottom