LUCAS HOOD
Member
- Oct 11, 2019
- 90
- 86
Habari zenu wana jamvi,
Bila kupoteza muda mimi ni kijana mdogo 20s
Nimepata TATIZO naliona pigo kubwa katika maisha yangu.
Nilipata ajali niladondokea kinena yani njia ya mkojo ikaziba kabisa ila jogoo anawika.
Nipo katika process ya matibabu ila natumia CATHETER kujisaidia haja ndogo mwezi wa 3 sasa.
Nimehudumiwa na hospita kama KAIRUKI na TMJ.
Katika kipimo nilichofanya juzi kinaonesha hali sio nzuri.
Daktari ameishauri nahitaji OPERATION SURGERY KUBWA. na wataalamu wapo nje ya TZ ila kuna jopo la wataalamu kutoka UJERUMANI wanafanyaga kambi hapa nchini hivyo ni vema nisubiri huduma yao kwasababu wao ndio PROFESSIONAL wa tatizo langu.
Leo nimepata wazo kwakuwa ajali nimepata kazini (mechanic technician) na ni kazi ya mkataba , kwanini nisiombe referral letter ya dr.kwenda kazini ili kupata sponsor ya matibabu.
Ushauri wenu wana jamvi
Mungu nivushe