Recent content by Lubama

  1. L

    Je hapa ndio jukwaa la wakubwa au?

    Biriani=Brian + *i****i
  2. L

    Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

    Hehehehe ngoja gongowazi wakusikie... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

    Mdau makini, umedhihirisha umakini wako asee. Haiwezekani wale wakwepa kodi wakubwa walioingiza serikali hasara kubwa wakasamehewa kwa kupewa siku saba walipe madeni yao na hawa wakabanwa kiasi hiki. Hizi double standards zinatoka wapi? Its unfair. Sitetei mkwepa kodi ila nasikitika kuona...
  4. L

    Msaada kwa anaeijua vizuri asasi hii Kopa-mali

    angalia picha zao wanazoziweka ni photoshop tu, utagundua nembo za kopamali kama kwenye funguo na majengo ni kama zime editiwa na kuwekwa hapo. matapeli wakubwa hawa
  5. L

    Msaada kwa anaeijua vizuri asasi hii Kopa-mali

    Initially nilijiuliza hivi na hizi picha zote zinazomhusisha na mkuu wa mkoa, inawezekanaje taasisi ya kitapeli ikafanya hivo? Ila mfumo wao wa ukopaji na urejejeshaji ulinipa shaka, na nilipotaka kuwatembelea ofisini kwao kwa maelezo zaidi (wanadai ni mikocheni) waligoma nisifike, ila tufate...
  6. L

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji kubadilisha kioo cha huawei ascend mate 7, mwenye taarifa tafadhali tuwasiliane 0716868394
  7. L

    Uliyeoa mwanamke asiye na makalio makubwa, imekula kwako

    Kwa taarifa yako ya uchunguzi kuhusu uhusiano uliopo kati ya akili ya mtoto na size ya "sitting apparatus" ya mama, je wachina ni exception ama?
  8. L

    Cement ya Dangote toka Mtwara, itawafikiaje wananchi wa Kigoma na Manyara?

    Ndugu yangu hali ya barabara ya Mtwara-dsm Si mbaya kiasi hicho unachotaka kutuaminisha. Na kwa taarifa tu ni kuwa tujiandae kununua saruji ya Dangote muda wowote kuanzia sasa kwa Tsh 8,000/50Kgs flat rate countrywide...
  9. L

    Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

    BIGURUBE, Hivi ukiambiwa uthibitishe hili unaweza Fanya hivyo? Ama nawe unatoa shutuma kwa taarifa za kusikia na kuambiwa na watu Wengine?
  10. L

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Interest mood activated
  11. L

    Wauza smartphone tukutane hapa

    MI pad, no simcard for tshs 500,000
  12. L

    Leo nimetembelea Addis Ababa

    Samples...
  13. L

    Wezi wa simu wakiona cha moto Sinza, Pikipiki yachomwa moto

    Pdidy Nina mashaka na uraia wako
  14. L

    Majina ya Kisukuma

    Lubango Lufundija Mayoka Butamo Ndalahwa Ndomele Miza #Proudly sukuma
Back
Top Bottom