kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Hauna historia nzuri ya jina hili na historia nzuri ya Mwigulu, jina lake halisi la kinyiramba ni LAMECK MADELU na hili la Mwigulu Nchemba aliiba la msukuma aliyekuwa kashindwa kusoma shule.kwa hiyo jina Mwigulu Nchema ni la kisukumaSio Msukuma ni Mnyiramba