Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka

Status
Not open for further replies.
Magufuli ni player mzuri sana kwa Wanawake, huyu mama wametengana kwa sababu ya Magufuli kuzidisha michepuko...ikiwa Magufuli atashinda Urais basi ndoa yake itakuwa km ile ya Benjamin Mkapa na Anna Mkapa!

Na huenda hata damu yake sio nzuri kwa matumizi ya binadamu ndio maana mama anaona haina haja tena.
 
Huyu gufuli ni hatari sana aisee atawamaliza wote ahamie kwa mkewe mana ndo zake ningrkua mkewe na Mimi ningemtanguliza tu inaudhi mno

Yule mama yuko na rozari kila aendako, na ni maombi tu ndiyo yanamweka hai.. Pengine angeshamalizwa siku nyingi. Yule mama anasali asikwambie mtu, waulize hata walimu wenzake wa Mbuyuni
 
Yule mama yuko na rozari kila aendako, na ni maombi tu ndiyo yanamweka hai.. Pengine angeshamalizwa siku nyingi. Yule mama anasali asikwambie mtu, waulize hata walimu wenzake wa Mbuyuni

Hizi habari zinanifanya nianze kumchukia Magufuli,kama anamdharau mkewe sisi je wananchi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Za chini ya carpet, jamaa ni wife beater kinoma. Anampiga wife kama anapiga mwizi.
 
Muacheni Mama wa watu! Campaign si lazima awepo. She has a right to her own decision making!
 
Magufuli ni player mzuri sana kwa Wanawake, huyu mama wametengana kwa sababu ya Magufuli kuzidisha michepuko...ikiwa Magufuli atashinda Urais basi ndoa yake itakuwa km ile ya Benjamin Mkapa na Anna Mkapa!
alikuchepukia ww nn mbona una washa!!acha umbea na sio tabia nzuri kumchukulia mwenzio mume wake!
 
Kwa ambao hamfahamu tu.. Huyo Kofuli mnayemwongelea hapa katoa watoto wake wengi tu kafara ili ang'ae kisiasa.. Kafara ya mwisho aliitoa majuzi tu hapa, maiti ikasafirishwa na ndege ya serikali. Huyo Kofuli kwa wasio mjua ni mchawi aliyewiva, kwake Kanisa ni kama Kituo cha Polisi. Wakati anatoa hizo kafara mkewe alikuwa hashirikishwi, hii kesi ilishapelekwa mpaka kwenye ngazi za Ukoo ikajadiliwa.. Huyo mkewe kamwe hawezi kuandamana nae, sababu bado damu za watoto wake zinamuumiza mpaka leo, tena ukizingatia yule mama ni mtu wa maombi sana..

Duh! Kazi kweli kweli
 
Hizi habari zinanifanya nianze kumchukia Magufuli,kama anamdharau mkewe sisi je wananchi?

Kwa asili Magufuli ni mtu mwenye dharau sana...amemdharau yule mama wa watu mpaka ameamua kujikalia pembeni...imefika mahali Magufuli anakataa hata hotuba anazopewa na chama chake sababu ya dharau zake!
 
Magufuli hakujiandaa kisaikolojia kuwa Rais kwa hiyo hata mkewe haamini km yeye ni first lady ajae
 
Hivi ni Lazima nae awe kwenye kampeni? mbona anaonyesha uadilifu zaidi kuendelea na anachofanya kwa passion kuliko kwenda kuigiza majukwaani.

CCM bana minu zimewaishia.....wanashindwa hata ku turn a neutral thing into positive.
 
Magufuli ni player mzuri sana kwa Wanawake, huyu mama wametengana kwa sababu ya Magufuli kuzidisha michepuko...ikiwa Magufuli atashinda Urais basi ndoa yake itakuwa km ile ya Benjamin Mkapa na Anna Mkapa!

Sio bure kumfahamu kote huku. Atakuwa keshapita na wewe akakuacha kwenye mataa unasumbuliwa na wivu.
 
ww ndo mama janeth magufuli sio?haa haa dume zima limekaa kibashukuna!!ulikuwepo pindi unagombana mbona mnakosaga cha kuongea aisee!!
mbona wewe akili zako na kauli zako Ni za kishoga!! Huna tofauti na dada zangu WA uswazi
 
ww ndo mama janeth magufuli sio?haa haa dume zima limekaa kibashukuna!!ulikuwepo pindi unagombana mbona mnakosaga cha kuongea aisee!!
mbona wewe akili zako na kauli zako Ni za kishoga!! Huna tofauti na dada zangu wa uswazi
 
Hahahaa sawa mkuu nimekupata....kweli kwa sifa zake hawezi kuwa player...fikiria anamjengea mwanamke wa nje hotel kubwa km Kebby's🙄

BIGURUBE,

Hivi ukiambiwa uthibitishe hili unaweza Fanya hivyo? Ama nawe unatoa shutuma kwa taarifa za kusikia na kuambiwa na watu Wengine?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom