GreatMkubwa
Member
- Jun 25, 2012
- 99
- 57
Katika harakati zangu za kujikwamua nimekutana na hii asasi www.kopa-mali.wapka.mobi/index.php ml nimesoma maelezo Yao ni mazuri kwakweli. Ila naomba kwa mwenye kuwafaham tupeane uzoefu kidogo..
Katika harakati zangu za kujikwamua nimekutana na hii asasi www.kopa-mali.wapka.mobi/index.php ml nimesoma maelezo Yao ni mazuri kwakweli. Ila naomba kwa mwenye kuwafaham tupeane uzoefu kidogo..
Nashkuru kwa maelezo mazuri boss,. Maana tangazo Lao linavutia mpaka unapewa hela eti 3M kama zawadi,.Initially nilijiuliza hivi na hizi picha zote zinazomhusisha na mkuu wa mkoa, inawezekanaje taasisi ya kitapeli ikafanya hivo?
Ila mfumo wao wa ukopaji na urejejeshaji ulinipa shaka, na nilipotaka kuwatembelea ofisini kwao kwa maelezo zaidi (wanadai ni mikocheni) waligoma nisifike, ila tufate taratibu za maombi kadiri ya maelekezo yanayoonekana mtandaoni. Kwa kifupi hawa entertain watu kuwatembelea ofisini, na kwa majibu hayo niliyopewa baada ya kupiga simu kuomba maelekezo ya jengo la ofisi ilipo maeneo hayo, nikajijibu kuwa hata ofisi hawana. Huo mtaa wa bosnia wanaousema kwenye matangazo yao kuwa ndio mahali ofisi ilipo haupo, maana kwa mujibu wa maelekezo yao huo mtaa unaitwa manyara.
Kwa kifupi hao jamaa ni matapeli na ndugu zangu nawasihi pamoja na shida zetu ila tusirubunike kirahisi. Usitume hela kwa mtu usiyemfahamu pasipo kujiridhisha beyond doubts kuwa unazielekeza sehemu sahihi.
Namba zao wameziweka naamini kupitia TCRA hawa watu can be traced easily na wakakamatwa.
Asante kwa ushauri boss,. Ila watawakamata wengi kwa staili YaoPoa poa kaka
Mkuu hawa watu waogope Kama ukoma ni matapeli Wa kutupwa so juzi kuna dogo kalizwa laki na ishirini kadanganyika atapewa mkopo wiki Ya tatu so jihadhali na huyo jamaa anaejiita Joseph Thomas mwenye namba hii 0677559528 so be Ware