Recent content by LONE_WOLF

  1. LONE_WOLF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakuona ukifall in love hapa na coin itakugeukia. Endelea kumcode tu, usitake na kumprogram.
  2. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Hakuna tamaa Bali grade ya ustahimilivu inapanda.
  3. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Oda za wateja zimezidi mtaji nilionao

    Tafuta partnering, sishauri mkopo. Share a percentage in agreement pia tumia social media kutangaza tender yako.
  4. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Hongera Mkuu mana wengine hiyo ni per day tu.
  5. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Sio rahisi Mkuu, nilianza na safari nikaona hola,nikaja kvant hola( nakunywa chupa mbili kubwa mwenyewe), valuer nayo mpaka nimix na Gin but hola, black label nayo hola, nmefikia level Double kick 5 nakunywa napiga na safari au nyagi ndogo ndo nalewa. Kilevyi ni balaa Sana
  6. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojipodoa mnaupiga mwingi!

    Skin care na kujipenda Mkuu. Inaonekana una wivu na hivyo vitu. Tujipende na kupendeza pia.
  7. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Very disappointing. Usiruhusu your space kuwa disrespected hata siku moja.
  8. LONE_WOLF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Baba mkwe hana adabu, Mkeo ni fuvu na huyo Mdogo wake akafie huko na Wewe ni Mwanaume suruali. Al shabaab(young man) wewe.
  9. LONE_WOLF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ulimtwomba vizuri?!!!. Ulituwakilisha Mkuu??!. Tushakunywa chai na kahawa sana.
  10. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kunyeni Arsemavi. Conte go finish you oooh
  11. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hii riwaya ending yake ni BLOOD FOR BLOOD, GUN FOR GUN. Natabiri tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
  12. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulivyong'aka Mkuu, umetisha sana.
  13. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] panya road na tozo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
  14. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Leaping you cand A**$ ain't for everybody.
  15. LONE_WOLF

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Muwe mnatulia hukuhuku kwa thread yenu sio mtufate thread yetu.
Back
Top Bottom