Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

[mention]willpower [/mention] Naona mnanivaa sana but binafsi nimeanza kutumia sim 2003 celtel ya bure japo izo tritel buzz voda nilikua pia nazifaham kipindi iko na kabla ya apo nilikua nikitumia sim za tccl kuwasiliana na kuhusu internet nimeanza kutumia 2007 ila nikikumbuka miaka ya 2000 vizuri hakukua na simu yenye uwezo wa G au E kwenye internet maana chakwangu kilikua NOKIA sikumbuk ni ngap ila ilikua hata rangi haina. Kuhusu BB,Sonyericson,motorola, nokia zenye camera na uwezo wa rangi binafsi nimeamza kuziona miaka ya 2005+ na kwenyewe watumiaji wa yahoo,MSN, ebay,AOL end etc nimeujua miaka ya 2005+ japo sio kwa matumizi sikua natumia ila nilikua najua kwakutua computer zilikua na uwezo quantum.
Kilichokua kinanipa ukakasi ni huo urahisi wa kusave email ya mwaka 2000 as if its common kati hata wengine kua na sim ilikua ni wachache hapahapa dar.
Anyway kilamtu atajipandisha kutokana na kufurahisha watu wengine watakua wakweli japo siwezi kukataa maana mi maisha yangu sikutoka kwenye familia za kisomi na zinazojiweza sana na sio mtoto wa mjini labda ndo maana nilichelewa kujua.
Ndugu yangu Beemind;

Nakubaliana na wewe kuwa na email haikuwa common miaka hiyo.
Binafsi internet nimeanza kutumia mwaka 2001; kwa maeneo niliyokuwa ninaishi internet cafe ilikuwa pale mtaa wa Kipata nyuma ya Keys Hotel na mara chache nilikuwa nikienda internet cafe fulani mtaa wa Pamba pale karibu na Luther House Posta. Wakati huo tulikuwa tunatumia sana Yahoo Messenger and MSN messenger kwa watu wa Hotmail.

Pamoja na yote hayo, wapo ambao walikuwa wanatumia internet japo walikuwa wachache.
 
Pia Vodacom nao waliokuwepo.
Pia Mobitel ambao sasa ni tigo walikuwepo!
Pitia angalau Google utoe tongotongo kidogo!
Screenshot_20220927-165758_Google.jpg
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========

TAKE NOTE:

===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
huu uzi umesomwa zaidi na wanawake, wanakumbukia mengi sana.
Wale wa Sekondari , wanakumbukia walipoliwa disko la welcome first year!

wale wa A-level huwa wanakulana siku ya disko la shule kwa shule, na wale domo zege huwa wanakulana siku ya graduu!

wale wa chuo huwa wanakulana siku ya orientation na kujitambulisha darasani maana kila mtu anajitambulisha anatoka Dar: Mwezi wa 10 sasa ndio huu wanachuo wameingia toka mikoani, wengi ndio wanakulana mara ya kwanza, kale ka uoga ka kuonekana na mama, sijui jirani wameachwa huko Kamachumu Bukoba mtoto anatoa kama yote, yaani anapanua miguu kama vile Mtu anapasua msonobari.
Gesti zaSurvye, Mwengr na maeneo ya jirani toka last week zimejaa, ukicheki hostel unakuta kumetuliaa miguno tu, wanapunguza sex [exile] wakipewa assignment ya kwanza
 
huu uzi umesomwa zaidi na wanawake, wanakumbukia mengi sana.
Wale wa Sekondari , wanakumbukia walipoliwa disko la welcome first year!

wale wa A-level huwa wanakulana siku ya disko la shule kwa shule, na wale domo zege huwa wanakulana siku ya graduu!

wale wa chuo huwa wanakulana siku ya orientation na kujitambulisha darasani maana kila mtu anajitambulisha anatoka Dar
Yani ni kweli kabisa umenikumbusha mbali sana Ila enzi hazirudi jamani
 
Nna daught labda mnitoe ushamna....Et miaka ya 20000 simu wote wawil na pia email ukasave watu banna kwann udanganye lakini.
Mimi nilikua nasoma chuo miaka hiyo, nilikua nahifadhi nyaraka na ripoti zangu muhimu kwa kujitumia kwenye baruapepe.
 
Back
Top Bottom