Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Tomiyasu kacheza LCB vizuri sana
Arteta ajaribu hata mechi za EUROPA kumueka LCB

Nmetok kuangalia hakik arsenal tuna kipaji Kwa tomi kwenye Beki Line yetu anacheza kokote LB,RB,LCB hata RCB tumechkua Kwa pesa ndog San aise
 
Reiss Nelson and Marquinhos need now to step up to an important task of covering for Smith Rowe . No Emile Smith-Rowe until December. Let’s hope Saka and Martinelli don’t fall.
FB_IMG_1664470979969.jpg
 
🗣️ Per Mertesacker on Ethan Nwaneri’s debut:


“Mikel Arteta gave everyone a powerful message. I have to say how much it trickled down. I’ve seen videos of the under-9, under-10 squads cheering Ethan on at Hale End when he came on.”
Players that would start the same journey as he did, in the grassroots academy, were cheering him on. So all of a sudden he has been escalated to be a role model and a positive influence for young players.” [Arsenal.com]
 
Conte kuhusu majeruhi:

"Sitaki kuzungumzia majeruhi kwa sababu sitaki kutoa faida kwa Arsenal. Lakini kwa hakika tunapaswa kukabiliana na baadhi ya matatizo, matatizo ya kimwili na tunapaswa kujua pia ndiyo kwanza tumeanza Kucheza mchezo wa kwanza katika mfululizo wa michezo 13 ndani ya siku 43.
 
🔴⚪️FabrizioRomano on #Arsenal & the upcoming January transfer window:

🔴“For positions, I’d mention the midfield because they wanted a midfielder in the final hours of the [summer] transfer market, they tried to negotiate with Aston Villa for Douglas Luiz.”“As of right now, there is no agreement between Douglas Luiz and Aston Villa on a contract extension.

🔴Luiz could be an opportunity [for #Arsenal] if not in January, next summer on a free, with many clubs in the race.”

Arsenal🔴
 
. Jesus

Martinel. . Saka

. . odegard

. Xhaka. Partey


Zin. Gab. Saliva. White

. Ramsdale


Tunahitaji kufunguka zaidi, kama ulivyosema spurs watakaa sana nyuma

Hapo inabidi tuanze na zinchenko tu
Zinny akianza maana yake middle muda wote itakuwa yetu


Conte Leo kagoma kusema Kuhusu majeruhi alionao ,anatuchezea mind game

Pia inaonesha Kama watamkosa kulu ,atatumia 3-5-2 au akija na 3-4-3

Tutawa overload , kwenye buildup na middle
 
Zinny akianza maana yake middle muda wote itakuwa yetu


Conte Leo kagoma kusema Kuhusu majeruhi alionao ,anatuchezea mind game

Pia inaonesha Kama watamkosa kulu ,atatumia 3-5-2 au akija na 3-4-3

Tutawa overload , kwenye buildup na middle
Fimbo 3 za spurs ni swala la muda tu
 
Gabriel Jesus:

"Nilizungumza sana na Arteta kuhusu staili ya uchezaji ya Arsenal. Ananifahamu, namfahamu, nilielewa alichokuwa anataka kutoka kwangu. Sasa niko huru uwanjani, nikicheza soka huku tabasamu usoni na kujaribu." kufanya kilicho bora kwangu katika wakati wote

Kwa City, ilikuwa tofauti. Mshambuliaji hakugusi mpira kiasi hicho, unaona kwa kutazama michezo. Na, wakati wa kugusa mpira unapofika, sio mshambuliaji, kwa sababu [Guardiola] aliishia kuweka kiungo ili asogee karibu. ,....

Kwa hiyo, niliamua kubadilika.
[Guardiola] anaelewa soka na kile alichokitaka. Basi ilikuwa juu yako kukubali au la. Usipoikubali, Ni kumwambia ‘asante’ na ukatafute changamoto nyingine.


“Niliikubali kwa muda, lakini ikafika wakati niliposema: 'Nataka jambo lingine kwa ajili yangu.' Nilimshukuru, ‘asante kwa kila jambo,’ alielewa....



IMG_20220731_075632_709.jpg
 
Wajanja walishtukiaga mapema kua hii club ni ya wasindikizaji wakahamia zao Airtel.
Screenshot_20220930_113038.jpg
 
Msimu wake wa kwanza tu akabeba:
Premium league
Premium league Golden boot,
Premium league goal of the season
26 goals
15 assists

Ndio hivyo mwamba akawa ameondoa nuksi ya maisha yake ya soka pale UK.
Screenshot_20220930_113105.jpg
 
Huyu mwamba asingejiongeza basi asingenyanyua hili dude mpaka anakufa.
Bahati nzuri akawahi kushtukia mchongo akaachana na watoto akaenda kujiunga na wanaume.
Mpaka kesho akiwa anahojiwa hua anapenda zaidi kuizungumzia Manchester United aliyoichezea kwa misimu miwili tu huku akijutia na akijilaumu sana kwa kupoteza miaka yake 8 kwa Arsenyani ambako aliambulia kubeba masufuria ya ngao ya hisani.
Screenshot_20220930_135207.jpg
 
Back
Top Bottom