Recent content by Little Fingers

  1. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  2. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

    Ni Bvlgari Tygar X Refik Anadol...
  3. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuwa mlevi hata Haipendezi…

    title iwe "Mtu Kuwa Mlevi Haipendezi."
  4. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

    Sitii neno hapa. But mzigo ni huu hapa.
  5. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Mzee anaingiza zaidi ya laki 3 kila siku

    Nataka mbwa wa kufuga. Mnao au wameisha?
  6. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wamejishau kuwa X imefungiwa hapa nchini? X haiurusiwi kisheria

    X haijafungiwa ila upatikanaji wake umekuwa “Restricted.”
  7. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayojiri Siku ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 9, 2025: Hali yaonekana kuwa shwari maeneo mengi nchini

    Historia huandikwa na matendo ya kishujaa ambayo kwa wengine huonekana kama ni wendawazimu.
  8. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Oryx/Oilcom arbitration case has risen significant questions

    In a case that has captured national attention, the arbitration dispute between Oryx and Oilcom has raised profound questions about business integrity, arbitration practices, and transparency in Tanzania. The controversy began with a contractual disagreement over oil transport volumes and...
  9. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Madanguro yanayovunjwa na RC wa Dar ni kiduchu kwenye biashara moja kubwa sana

    Sasa mwanangu ndio umeamua usanue kila kitu. Hawajui hii biashara ime evolve na tekinolojia; waa bado wapo zama za kati za mawe.
  10. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Admission letter!

    Na umejua ulikuwa unakosea wapi, ukafuata maelekezo ukafanikiwa? Au umeona tu kisha unangoja watu wakushauri ufanye nini?
  11. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Hata Kusadikika... Popote pale.
  12. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Kukamatwa na kufungwa jela haijawahi kuwa sifa ya kiongozi bora. Haraka haraka tuanze na nafasi ya mwenyekiti wa chama, unaweza tuambia toka 1992 mpaka leo CHADEMA imekuwa na wenyeviti wangapi na wana mahusiano gani (nje ya wote kuwa wanachama wa CDM)?
  13. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

    Nna shida na hiyo faida na sitaki fanya kazi, chap kwa haraka toa dira.
  14. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania KIKUU wataacha lini kuuza bidhaa feki?

    Biashara yenyewe imejengwa kwa misingi ya kuuza knock off and cheap products from China, unategemeaje wabadili na kuwa wanauza vitu OG. Kwanza can the target market afford them?
Back
Top Bottom