Kamekaa Kama Tungi Kali
Mi natumia cha kupima hakina jina il kina namba 212 (two one two) ni balaa harufu yake kwenye watu 500 wanasika woteHelll
Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili
Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000
View attachment 3403558
Hii ya pili natumia kama sehemu niendayo kama kuna kusanyiko kubwa la watu yaani watu wengi kama vile harusini mikutanoni hii nasikika mwenyewe tu hii harufu yake kali na ina kaa mda mrefu sana so ukitumia hii unakuwa wa kipekee kabisa yaani perfume zingine hazitosikika itasikika yako tu bei yake kuanzia 50000 inategemea na duka
View attachment 3403560
Haya leteni perfume zingine ambazo zipo vizuri sana kwa mwanaume
InaitwajeMi natumia cha kupima hakina jina il kina namba 212 (two one two) ni balaa harufu yake kwenye watu 500 wanasika wote
Kimeandikwa 212 v.i.pInaitwaje
Una nunuaga kwa fabrooz auKimeandikwa 212 v.i.p
kwhy mkubwa mtoa mada anapulizia kitu fakeAngalia bei halafu mtu ananunua kila miezi miwili tofauti 😂😂View attachment 3403573
Yeye pia amekiri hivyokwhy mkubwa mtoa mada anapulizia kitu fake
NomaaaHelll
Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili
Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000
View attachment 3403558
Hii ya pili natumia kama sehemu niendayo kama kuna kusanyiko kubwa la watu yaani watu wengi kama vile harusini mikutanoni hii nasikika mwenyewe tu hii harufu yake kali na ina kaa mda mrefu sana so ukitumia hii unakuwa wa kipekee kabisa yaani perfume zingine hazitosikika itasikika yako tu bei yake kuanzia 50000 inategemea na duka
View attachment 3403560
Haya leteni perfume zingine ambazo zipo vizuri sana kwa mwanaume
Sitii neno hapa. But mzigo ni huu hapa.Helll

Sio wote wenye uwezo wa kutumia hiyo kakaHelll

Perfume gani hiyo?Yaan alikalili haruf kiasi kwamba nikiwa niko mbali ana waambia wenzie fulan ana kuja nikawa najaa kichwaa kuja kuambiwa ana majini nika kata mguu kufika
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe paka caro light, ile ni zaidi ya perfume, harufu yake inatangulia mbele dakika 5 ,na kwa hakika utawakera sana watu kwa harufu yake mbaya.
Unauza wapi? Sh ngapi?Sitii neno hapa. But mzigo ni huu hapa.