Assignment: kudesign website ambayo mtu mwenye ujuzi kidogo wa kompyuta ambaye ni mmiliki ataweza kuimanage kwa ku update taarifa na ku upload document yaani picha na pdf bila msaada wa mtaalam!
Tuma text msg fupi ukieleza elimu yako, software utakayotumia, mfumo utakaotumia, bei na email...
Akuache kama huna hela! Kama na wewe unaamini hela ni muhimu kwenye hilo na umeshindwa kumuweka sawa... akuache! Kwa kukusaidia nipe digit zake! Ntakuwakilisha. Usijali.
Sijui ilikuwaje lakini siku hizi vijana wengi wanaomaliza vyuo wanaomba nafasi za kujitolea katika ameneo mbalimbali. Sasa awapo pale na nafasi ikatokea akaomba na akawa ana vigezo, hata minimum standards anakuwa na chance kubwa ya kupewa kwa sababu kuu 2. Moja wanamjua utndaji wak mbili, wana...
Napenda kuwapongeza watu wa tume ya ajira. Website yao iko active...! Inatoa taarifa muhimu na za uhakika. Sio mbaya nawewe ukapongeza hapa, hata kama uliomba kazi ukakosa.
Sijakucheka wewe! Ushauri wa kupima vvu uuzingatie. Uwaambie kuwa ukipata bad news unazimia ili wajue jinsi ya kukuhandle.... Likely kuwa chanya. Hayo mengine na huyo kicheche wapotezee.
Kwani opresheni ni ya wapi? Tumboni au ni kwenye mpango mzima... Nadhani kama mke akipata panadol ya kusahaulisha maumivu jamaa anaweza akagegeda tu.... Mi sio dokta ni mtizamo binafsi.
Hata vicheche neno nimekupenda hawataki kulisikia...! Shida ninayoiona sisi wanaume tukiona demu mzuri tunawaza kumgegeda...! Kwahiyo hata ukimsimamisha akasimama unakuta mjomba inabidi umbane na mkanda maana ameshasimama... Wakati huo macho yanahangaika kuangalia ------. Matiti. Kiuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.