Amesema ataniwekea sumu!!!

Amesema ataniwekea sumu!!!

haa haa haa kakupiga mkwara tu, unafikiri wenye uwezo wa kuua wanasemaga basi, wao vitendo tu.

demba,we sema mkwara tu but ni kauli ambayo ckuwah kuisikia tangu tumefunga ndoa miaka kadhaa iliyopita
 
Hahaha!!!

Hebu karibu hapa dukani kwetu ujichagulie 'kabati' lako kabisaaaa...maana mkeo muda si mrefu katoka kununua sumu ya panya hapa duka la jirani!!

hahaha ngastuka machale kundesa
 
mkeo ni mjinga, mie nitamuwekea kimya kimya bila kumwambia. lol
 
dah na wewe unaonekana una li roho libaya.we hujui kuua ni dhambi?

Kuna watu wanafanyiwa ukatili wa nafsi wa hali ya juu,me binafsi nina moyo wa kupotezea...lakini si wanawake wote wanaweza 'kuachilia' maumivu yao.....so,piano piano KOZO....Take Care...
 
Kuna watu wanafanyiwa ukatili wa nafsi wa hali ya juu,me binafsi nina moyo wa kupotezea...lakini si wanawake wote wanaweza 'kuachilia' maumivu yao.....so,piano piano KOZO....Take Care...

dah mpaka umetia na ka uitaliano kuonyesha unajali.kweli niende mdo mdo
 
Jihadhari, toa ripoti polisi maaana tayar ni kesho hiyo ya jinai, kama amesema kwa maandishi au namna ingne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom