BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
hapo unakuwa umempenda au umemtamani?
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?
ukimwambia unamtamani hakupi.ata mie sio demu lakini ningekukatalia...kupenda mchezo...ungesema nakutamani angekuelewa
ukiwa una nia ya kumchezea waweza mwambia chochote mda wowote, lakini kama wataka wa kukufuta machozi inabidi uwe na subira.[Nimeshasubiri mpaka nimechoka kwa kutumia style ya kusema ngoja kwanza anizoee!
ukimwambia unamtamani hakupi.
nipe trick sina gari na mapene.hahaha kweli hakupi papuchi. sasa ngoja nikupe trick....ili demu umwambie nakutamani na akuvulie chupi hakikisha una vitu viwili; gari na mapenez mwanawane.
nipe trick sina gari na mapene.
kweli sasa wewe kama hutaki kumpoteza demu hakikisha wallet yako imejaa na una mkoko wa ukweli hapo hamna maneno unamega siku hiyo hiyo[Tatizo poch haijatuna!
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?
........nimegundua wewe sio mjanja ! Siku ya kwanza tu, lazima uwe smart. Hakikisha una pata na kuchukua taarifa zake za kutosha. Una kaa wapi, namba ya simu, unapofanya kazi, majina kamili nk.[Wakati huo sikutegemea kumuona tena siku ingne maana angeweza kuniambia hana sim?
Ki ukweli neno nakupenda kwa mala ya kwanza ni vigumu mtu kukuelewa nia yako hivyo yatupasa tu tukubaliane kwamba nibora ukaanza na ku like hata kama ni miaka kumi 2 bila kutamka neno na kupenda kwan kupenda ni hatua ya mwisho na muhimu sana katika mahusiano na ni baada ya kuafikiana mambo ya msingi na kuchunguzana kwa kina na kujuana tabia . wengi tunasema nakupenda na baada ya siku mwezi kupita mahsiano chenga sasa nini maana ya hilo neno so vyema neno kutumia like mpaka hapo utakapoona umeridhishwa na mtu hy uliyemtakia neno hilo.