Jeeee inawezekana kugegeda kwa hali hii

Jeeee inawezekana kugegeda kwa hali hii

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Jamani kuna rafiki yangu mke wake amejifungua kwa upreshini ni mwezi wa 3 sasa na mke wake amerudi kwake juzi pamoja na kitoto chake.
Tatizo ni kua unajua tena mwanamke na mwanamme yawakai pamoja sasa mume anataka apewe haki yake na mke anasema kua upresheni wake ulikua ni mkubwa kwa hio kaambiwa akae kwa miezi 6.
Suali ni jee kwa upresheni huo jamaa haruhusiku kugegeda kwa miezi 6 au asibebe ujauzito kwa miezi hio?
Au anaweza kugegeda ili wawe makini kwani fuko la uzazi litakua halina uwezo wa kukaa mtoto.
Mitazamo yote naisubiria ya kiafya kidini kijamii na mitazamo binafsi
 
Inashauriwa kukaa miez 3,ktk kujifungua sidhani kama kuna operation ndogo na kubwa.binafsi niliwah jifungua kwa operation....kikubwa watumie njia za uzazi wa mpango maana akipata mimba na huo mshono atapata tabu.
 
Wagegedaji mbona hamjatulia jamani!!!kuweni na subira!! Hamna mnachowaza ni kugegeda tu! Fikiria mwenzio amepata opareshen na ni kama nusu kifo! Wewe badala ya kumwonea huruma na kumsubiri mpaka apone kichwa chako kinawaza kugegeda tu! Nyau nyie!! Mbona hamfai hivyo?
 
Wewe na mkeo mnatakiwa muende pamoja kwa gynaecologist wake ndio atawaeleza vizuri ln na jinsi ya kigegedana kwa usalama
Afya za watu hua ni tofauti so ni vyema kupata ushauri wa mtaalam
 
Kwani kunatofauti kati ya uperesheni na upasuaji km upo nijulishe
 
Athumani kichwa wazi wako hatari sana duh!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kuna njia nyingi za kumridhisha mme sio lazima sex, wanawake wengi wanajisahau, simaanishi tigo pia lkn kuna njia unaweza kumsaidia mme na akafika kileleni bila kukuingilia
 
Aache kumbania baba wa watu! 40 ikishapita ruksaa! Hiyo miezi 6 ikipita ndo anaruhusiwa na strenous exercise jama situps na jogging. Ndo mshahara wa kutompeleka mkeo clinic. Anakudanganya apendavyo!
 
Kwani opresheni ni ya wapi? Tumboni au ni kwenye mpango mzima... Nadhani kama mke akipata panadol ya kusahaulisha maumivu jamaa anaweza akagegeda tu.... Mi sio dokta ni mtizamo binafsi.
 
Back
Top Bottom