web designer anahitajika haraka!

web designer anahitajika haraka!

LitmusPaper

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
33
Reaction score
12
Assignment: kudesign website ambayo mtu mwenye ujuzi kidogo wa kompyuta ambaye ni mmiliki ataweza kuimanage kwa ku update taarifa na ku upload document yaani picha na pdf bila msaada wa mtaalam!

Tuma text msg fupi ukieleza elimu yako, software utakayotumia, mfumo utakaotumia, bei na email yako! 0658350666

Kazi niya muda mupi lakini utalipwa kishkaji!
 
Attachments

  • 20131229_094727.jpg
    20131229_094727.jpg
    128.3 KB · Views: 208
Assignment: kudesign website ambayo mtu mwenye ujuzi kidogo wa kompyuta ambaye ni mmiliki ataweza kuimanage kwa ku update taarifa na ku upload document yaani picha na pdf bila msaada wa mtaalam!

Tuma text msg fupi ukieleza elimu yako, software utakayotumia, mfumo utakaotumia, bei na email yako! 0658350666

Kazi niya muda mupi lakini utalipwa kishkaji!

No shortcut hapo bosi lazima user ajue atleast basic HTML au kwa muujibu wa hayo maelezo unahitaji CMS (content management Systeme), hapo hauzungumzii HTML na css tena ambazo almost ndio zina fanya simple website uliyotaja. mimi naweza kukufanyia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom