Nililala na fisi

Nililala na fisi

Unaposema ulilala na fisi kweli alikuwa ni fisi? Kama angekuwa fisi pasingelalika hapo.kwanza ingerarua hicho kifanyio
 
Mweeeeeeee! Ati fisi? Hii mbaya sana. Best bora umrudie tu bwana na utubu mbele ya hadhara. Heheeee! Tunaomba hizo sites ziwe tagged kwenye google earth ili iwe warning kwa watu wengine. Hata hivyo pole sana.....
 
pole sana..........ila hiyo ndo iwe fundisho sio mnaparamia tu ovyovyo msivovijua usipotulia unaweza jikuta siku moja dushelele haipo.
 
Hilo ni fundisho manake uache tabia hiyo chafu kuna siku watakupeleka makaburini ndio ujue habari yake lol
 
Ni kweli ndugu nilipokuwa nagonga alikuwa na sura ya kibinadamu ila alinitisha pale alipokuwa haongei wala hageuki thus why nikamuadithia jamaa yangu. Huyu du ni popular kijijini hapa kutokana na tabia hyo.

....hii story ya m2 kuduu na mwanga leo naisikia mara ya pili maishan mwangu, uliposema upepo nikakumbuka ya kwanza nayo ilikuwa hivo.....huyu ni jamaa kijijini kwetu amefariki dunia mwaka 2011, huyu jamaa one day akaenda kwa nyumba ndogo, kumbe yule dada mwanga...basi wameduuu kisha wakalala, ilipofika saa 6 usiku jamaa alikuwa macho, yule dada akaamka akamgeuza jamaa yan penye miguu pakageuzwa kichwan n viceversa...jamaa kajikausha kama amelala fofo, then yule dada kasepa zake....jamaa kakaaa afu akaamua kulala kama kawaida yan kupinga alivyogeuzwa, ilipofika saa 10 usiku akaamua kuwasha sigara yake na kuendelea kuvuta mdogo mdogo pale chumbani, gafla akasikia upepo unaingia ndani then kukafatia na popo wachache, jamaa anadai kuona vile akajilaza fasta kama alivyokuwa amelazwa mwanzo, punde si punde yule dada karudi na kumgeuza na jamaa akajikausha pia kama amelala fofofo, then asbh jamaa akaamka akasepa na mapenz kuishia hapo na kuanza kuhadithia mtaani......
 
Inawezekana atakuwa amechukua mbegu zangu ila hakuninyoa mavuzi. Alikuwa mtamu sana sijawahi gusa kitu kama kile. Hata mama chanja wangu hayupo hivyo. Ana mashine mnato ile mbaya.



Ee bwana eheee, fisi huyooo unayemzungumzia au? Chunga kauli yako kuna wadhaifu humu JF utawafanya waende Katavi kutafuta fisi wa kimazingira.
 
Sidhani kama ni kweli, kwa maana kama huyo demu alikuwa mshirikina usingeweza kuamka usiku huo, kwani angekuwekea madawa ya usingzi mpaka saa atakayorudi, labda ni wenge la maji ya dhahabu!

mambo ya uzoefu hayo
 
Ee bwana eheee, fisi huyooo unayemzungumzia au? Chunga kauli yako kuna wadhaifu humu JF utawafanya waende Katavi kutafuta fisi wa kimazingira.

Yap wapo wengi sana huko katavi hata mjini.
 
Ni kweli ndugu nilipokuwa nagonga alikuwa na sura ya kibinadamu ila alinitisha pale alipokuwa haongei wala hageuki thus why nikamuadithia jamaa yangu. Huyu du ni popular kijijini hapa kutokana na tabia hyo.
We acha mambo yako bana... hii chenji lazima uirudishe, kwa hoja... hivi hujui kuwa kuna wanawake wengine ngoma ikikolea wanappoteza fahamu? Hapo si utasema kafa? Wengine wanalia kama mbuzi, sa si utasema umelala na mbuzi? Wengine wanatumbua macho ka mjusi kabanwa na mlango, na hawezi kusema chochote kwa wakati huo? Acha bana.... HIVI, KILICHOKUFANYA USEME UMELALA NA FISI NI NINI? HUKO KUAMBIWA? KWA NINI USISEME UMELALA NA MBWA?..
 
Hi wana mmu na jf kwa ujumla. Huu si uongo na wala si hadithi ni tukio la kweli lililonitokea mkoani katavi. Sina nia ya kumtisha wala kumchafua mtu.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na ninafanya kazi kwenye NGO moja jijini dar inayojihusisha na utunzaji mazingira. Wiki iliyopita nilipata safari ya kwenda mkoani katavi kwa ajili ya kutoa elimu ya mazingira kuzunguka ziwa tanganyika katika maeneo ya kalema na ikola.
Kama kawaida ya field tulipanga guest house 1 hapo kalema. Usiku nilienda kwenye bar 1 kupata 1 moto 1 baridi. Nikiwa hapo bar alikuja mtoto mmoja mzuri wa kike. Nilimuomba kampani yake na akakubali nilale nae.

Nilienda nae guest na kupiga viwili alaf tukalala hapo ndipo ilipotokea kituko. Nilishtuka saa 8 usiku na kumuamsha ili nishtue japo kimoja ila hakuwa anaitika zaidi ya kufumbua macho. Nilijua amezidiwa na usingizi, nilijitahidi kumshtua bt hakuwa anashtuka aliendelea kufumbua macho tu bila kuongea. Ikabidi nimpande hivyo hivyo na kumaliza. Yeye hakuwa anaongea wala kujitikisa kipindi chote mi namfanya. Nilipo maliza nikalala bt baada ya mda mdogo nilisikia kiupepo kinaingia ndani naye akashtuka na kujigeuza. Ilikuwa kama saa 10 hivi usiku. Akaniamsha na kunipa mzigo tena mpaka nikachoka alikuwa kama sijamdu.
Asubuhi nilienda kwenye mafunzo hapo ndipo nilimuelezea jamaa mmoja ambaye anaishi huko na tulikuwa tunashirikiana nae kwenye hilo zoezi la kutoa elimu ya mazingira. Jamaa kumbe anamjua huyo dada na akaniambia hiyo ndiyo tabia yake kwa sababu ni mshirikina huwa usiku ukilala nae anaenda kuwanga na pale huweka fisi kimazingara ndio maana nilipokuwa namuamsha hakuwa anashtuka wala nini.

Alishafukuzwa huko sumbawanga na mpanda mjini kwa ajili ya hiyo tabia yake.
Kuanzia siku ile naogopa kuchukua mzigo nikiwa field.

Nawashauri wanaume wenzangu tuwe makini tunapochukua wanawake hovyo.

Unapofundisha mambo ya MAZINGIRA ujue kuna wenzako wamebobea kwenye MAZINGARA!!!! Funguka sasa; MUZIKI wa fisi ukoje??? Unalipa??? Share your experience tujue ya kifisifisi ikoje...
 
Back
Top Bottom