Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

Demu atakua umekuona nuksi kweli! Atakua anajuta kutembea na wewe japo hawezi kukwambia. Nani hapendi kuwa ndani ya v8....
 
Ungemtemea koozi na angeshuka kwenye ndinga na ww nae ungevimba c uko na mtoto tena
 
Hebu wakuache na demu wako bana, lol! pesa zao na mademu wazuri wanawataka, kwani hajamuona wema sep huko sinza?
 
Back
Top Bottom