Recent content by LISANDIME

  1. L

    Bodi ya mikopo (HESLB) kunani??

    UTARATIBU HAUJAANZA....Na kama umejaza saahizi ni uongo..kuna watu wameenda mpaka bodi kuuliza mbona tumelipia. ila wameambiwa kuwa muda hsujafika
  2. L

    Bodi ya mikopo (HESLB) kunani??

    Bado hawajaanza na hizo transaction Id kama umeshalipia haziwezi kucopy na system ya HESLB kwa sasa. na inaweza ikagoma hata baadae.
  3. L

    Msaada ku kuomba scholarship waliosoma law open university of Tanzania

    TCU hawatoi mkopo ila HESLB ndio wanatoa mikopo.
  4. L

    Lijue serikali/baraza la mawaziri

    dr. Joyce ndalichako.
  5. L

    uyatima unanitesa mpaka kichwa kinauma

    Baba alifariki nikiwa darasa la kwanza, mama alifariki nikiwa form 3, nina wadogozangu wawili.. Nikiwa form3 nilijua ndio Mwisho wangu wa shule,, Nikamtumainia MUNGU na na kustrugle akanimwagia mibaraka yake, nikafika form 4,5,6 na chuo kikuu, mdogo wangu wa pili yupo mwaka wa 3 chuo kikuu...
  6. L

    CHADEMA msiwaongopee wafuasi na wanachama wenu kuhusu Zitto Zuberi Kabwe

    Aliomba apewe maelezo ya kimaandishi na KATIBU MKUU wenu DR SLAA na hakupewa, alienda MAHAKAMAN kuonyesga kwamba ana akili kuliko KAMATI KUU
  7. L

    Hivi kumbe kuna maeneo ambayo Rais haruhusiwi kukanyaga!?

    Bila shaka utakuwa umesoma SHERIA ndio maana ukaja na tafsiri hiyo.
  8. L

    Majambazi wavamia na kupora pesa CRDB na DCB Bank Chanika

    YANI unaweza kuona analipwa laki 2 tu. Maana wa huku kwenye makampuni mengine walinzi wanalipwa LAKI NA NUSU.
  9. L

    Waliokua wanasema UDSM wote wanapata kazi ila UDOM hawapati kazi wako wapi?

    Mzumbe umesomea kitu gani? Mbona wanaajiriwa wengi tu.
  10. L

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    ABM MKUMBA na MTEGETWA walitosha kunipa DIVISION ONE. 2011 SONGEA BOYS. Shule ikifungua navuta miezi 2 kwa MKUMBA na MTEGETWA.
  11. L

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    ABM MKUMBA, huyu JAMAA KWA HISTORY ni mzuri sana. Kama una kijana wako anasoma HISTORY yupo hapa DSM mwambie aende ILALA BUNGONI karibu na CHUO CHA DSJ utasoma topic na unapewa booklet then jioni SOLVING, aaah ukifeli una matatizo.
  12. L

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Hongera sana, Kuna mtu ameshauri hapo kuhusu kuwa na mtu wa Marketing. Napenda pia kushauri kuwa na watu wa marketing kwa kila mkoa kwa kuanzia angalau DSM, PWANI, sijajua kwa huko mikoani.. Ambao kila kwanza utawapa jukumu la kutengeneza Market Plan iliyoshiba kwa kuelezea na vitendo kuanza...
Back
Top Bottom