Luse msomba
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 228
- 159
Wamefaulu?Nshughulika sana kuwasaidia watu kujiunga na vyuo kupitia NACTE na wanao apply loan board...Tatizo hapa ni moja,ule utaratibu ulio zoeleka kwa miaka mingi iliyo pita mwaka huu ni tofauti alafu hakuna maelekezo yoyote kuanzia NACTE mpaka HESLB...