Waliokua wanasema UDSM wote wanapata kazi ila UDOM hawapati kazi wako wapi?

mwakibolo

Senior Member
Jul 29, 2015
167
170
Asikuambie mtu swala la kupata kazi haijalishi umesoma chuo gani wala kozi gani ni MUNGU apangaye, nyota yako pia inahusika na juhudi binafsi.

NIMEONA UDOM GRADUATE wameajiriwa maeneo mengi gvt. Na private sector, huku UDSM wakilia njaa na wakati walikua wanaponda elimu ya UDOM NA KUA WAHITIMU WAKE HAWAAJIRIKI
binafsi nmemaliza UDOM 2012 nikapata job gvt.

2014 mwishoni huku chuo nlikua wa kawaida tu, nachemka kwenye Seminar, ila kweli kupata kazi ni bahati, leo waliokua wanancheka sijui hata presentation wako mtaani wana haso.

MUNGU awasaidie wafanikiwe plus wale wa udsm waliokua wanaponda UDOM.
 
mwakibolo

Senior Member
Jul 29, 2015
167
170
duh!!kwa hiyo unataka kutuambia kuwa udom mnapata kazi kwa kubahatisha c ndio?
kweli uelewa wako ndio unaishia hapo? Nani asiyejua kua kazi siku hzi ni za kubahatisha bz mnaomba watu maelfu huku nafasi ni chache sana
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
8,892
2,000
kweli uelewa wako ndio unaishia hapo? Nani asiyejua kua kazi siku hzi ni za kubahatisha bz mnaomba watu maelfu huku nafasi ni chache sana
naona wewe hujielewi..ngoja nkuache kama ulivyo tu..naona hata hiyo kazi hujaipata kihalali..maana huwez kuwa na akili fupi hivi then ukafaulu usail..wacha kuwaibisha wana udom wenzio humu.
 
Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,663
2,000
Suala sio kupata kazi. Inawezekana na degree yako umekubali kuajiriwa kwa mshahara wa mtu mwenye certificate. wana Darisalama wa UD wanachokataa ni kuajiriwa kwa mishahara ya kinyonyaji. Yan graduate uanaajiriwa kwa mshahara wa laki tatu. Mshahara kiduchu kuliko hata bumu alafu unakubali na unakuja hapa kutamba ati umepata kazi na kuwaacha wana UDSM wanakalia benchi? Aibu yako wee!
 
mwakibolo

Senior Member
Jul 29, 2015
167
170
naona wewe hujielewi..ngoja nkuache kama ulivyo tu..naona hata hiyo kazi hujaipata kihalali..maana huwez kuwa na akili fupi hivi then ukafaulu usail..wacha kuwaibisha wana udom wenzio humu.
hata bible inasema USIBISHANE NA MPUMBAVU, MWACHE AENDE KWANI WOTE MTAONEKANA WAPUMBAVU....KENGE WW
 
mwakibolo

Senior Member
Jul 29, 2015
167
170
Suala sio kupata kazi. Inawezekana na degree yako umekubali kuajiriwa kwa mshahara wa mtu mwenye certificate. wana Darisalama wa UD wanachokataa ni kuajiriwa kwa mishahara ya kinyonyaji. Yan graduate uanaajiriwa kwa mshahara wa laki tatu. Mshahara kiduchu kuliko hata bumu alafu unakubali na unakuja hapa kutamba ati umepata kazi na kuwaacha wana UDSM wanakalia benchi? Aibu yako wee!
sijajitapa ila hujaelewa uzi wangu...pia usifanye kazi ya shehe yahaya, una uhakika gani nimeajiriwa kwa certificate?.,kweli uelewa wako umeishia hapo?
 
mapzungu

Member
Sep 12, 2015
7
20
Samahani wandugu, naomba Comments zenu kuhusu wahitimu wa SUA, je wanaajiriwa kwa wing au nao ni shiida?? (ondoa course za Edu)
 
Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,663
2,000
sijajitapa ila hujaelewa uzi wangu...pia usifanye kazi ya shehe yahaya, una uhakika gani nimeajiriwa kwa certificate?.,kweli uelewa wako umeishia hapo?
Unaweza ukawa na degree lakini ukalipwa mshahara wa laki tatu sawa na mtu mwenye certificate. Wana Darisalama wa UDSM ni sawa na Wanaisrael, acha kujilinganisha nao kabisa. Uwezo wao wa kufikiri pia uko juu sana u have to accept that...
 
MERCENARY2015

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
339
250
Samahani wandugu, naomba Comments zenu kuhusu wahitimu wa SUA, je wanaajiriwa kwa wing au nao ni shiida?? (ondoa course za Edu)
SUA wapo vzuri kwenye kilimo wakipambana na STJoseph basi kwa upande wa degree ya food na agriculture pia Ndo hayo tu nnayojua mm
 
talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,858
2,000
Unaweza ukawa na degree lakini ukalipwa mshahara wa laki tatu sawa na mtu mwenye certificate. Wana Darisalama wa UDSM ni sawa na Wanaisrael, acha kujilinganisha nao kabisa. "Uwezo wao wa kufikiri pia uko juu sana" u have to accept that...
Kwenye quotation apo mkuu c kweli...!
 
nkondola amon

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
367
195
Bro hii kitu kidogo italeta vurugu japo lengo lako ni kufikisha ujumbe kwa waliokuwa wanakibeza chuo kikuu cha dodoma uchanga wake ila ol in ol degree ni degree tu!!
 
shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,929
2,000
watu wanajisifia kuajiriwa.. kina home shopping wanajiajiri na kujifilisi wenyewe. hadi serikali inatetemeka why wamefilisika..

kweli elimu ni akili kichwani sio cheti
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom