Lijue serikali/baraza la mawaziri

Cuscoo

Member
Mar 6, 2015
33
6
Nimeamua kuidadavua serikali na Baraza la Dr.Magufuli:

Kwa Kifupi idadi ya Mawaziri na Naibu waziri ni 35, Kati ya hao:

Prof - 4
PhDs - 7
Masters - 21
1st Degree - 1
Diploma + - 2

Pata undani wa elimu za baraza:

Rais:

Dr. John Pombe Joseph Magufuli - PhD(Chem&Maths)

Makamu wa Rais:

Samia Suluhu - Msc (Comm. Econ. Dev.)

Waziri Mkuu:

Kassim Majaliwa Majaliwa - (B.A.Ed)


BARAZA LA MAWAZIRI LA JPM:

Professors (Maprofesa):

1. Prof. Jumanne Maghembe
2. Prof. Joyce Ndalichako
3. Prof. Makame Mbalawa
4. Prof. Sospeter Muhongo

PhDs (Shahada za Uzamivu - Madaktari wa Kusomea)

1. Dr. Medard Kalemani
2. Dr. Augustine Mahiga
3. Dr. Ashantu Kijaji
4. Dr. Phillipo Mpango
5. Dr. Harisson Mwakyembe
6. Dr. Abdallah Posi
7. Dr. Suzan Kolimba

Doctors/Msc (Madaktari wa Binadamu) - wana shahada za Uzamili ktk Sayansi

1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Dr. Hamis Kigwangala

Engineers/Msc Engineering (Shahada za Uzamili ktk Uhandisi)

1. Eng. Gerson Lwenge
2. Eng. Ramo Makani
3. Eng. Hamad Masaun
4. Eng. Isaack Kamwele
5. Eng. Stella Manyanya
6. Eng. Edwin Ngonyani

Master of Science/Msc (Shahada za Uzamili ktk Sayansi)

1. Charles Kitwanga
2. January Makamba
3. Anastazia Wambula
4. Luhaga Mpina

Master of Laws/LLM (Shahada za Uzamili ktk Sheria)

1. Ummy Mwalimu
2. Antony Mavunde
3. William Tate Ole Nasha
4. Angella Kairuki

Master of Arts/MA (Shahada za Uzamili ktk Sayansi ya Jamii)

1. Mwigulu Nchemba
2. Jaffo Seleman
3. Angelina Mabula
4. Charles Mwijage
5. Nape Nnauye

Bachelor of Law/LLB ( Shahada ya Kwanza ya Sheria)
1. George Simbachawene

Stashahada za Ualimu/Wanaendelea na Masomo ya Uzamili
1. William Lukuvi
2. Jenista Muhagama
 
PhD = Shahada ya Uzamivu
MA/MSc = Shahada ya Umahiri
BA/BSc = Shahada ya Kwanza

*Postgraduate Diploma = Shahada ya Uzamili

Chanzo: Wataalamu wa Kiswahili wa TUKI, UDSM
 
Nimeamua kuidadavua serikali na Baraza la Dr.Magufuli:
Kwa Kifupi idadi ya
Mawaziri na Naibu waziri ni 34, Kati ya hao:

Prof - 4
PhDs - 7
Masters - 20
1st Degree - 1
Diploma + - 2

Pata undani wa elimu za baraza:

Rais:

Dr. John Pombe Joseph Magufuli - PhD(Chem&Maths)

Makamu wa Rais:

Samia Suluhu - Msc (Comm. EC. Dev.)

Waziri Mkuu:

Kassim Majaliwa Majaliwa - (B.A.Ed)


BARAZA LA MAWAZIRI LA JPM:

Professors (Maprofesa):

1. Prof. Jumanne Maghembe
2. Prof. Joyce Ndalichako
3. Prof. Makame Mbalawa
4. Prof. Sospeter Muhongo

PhDs (Shahada za Uzamivu - Madaktari wa Kusomea)

1. Dr. Medard Kalemani
2. Dr. Augustine Mahiga
3. Dr. Ashantu Kijaji
4. Dr. Phillipo Mpango
5. Dr. Harisson Makyembe
6. Dr. Abdallah Posi
7. Dr. Suzan Kolimba

Doctors/Msc (Madaktari wa Binadamu) - wana shahada za Uzamili ktk Sayansi

1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Dr. Hamis Kigwangala

Engineers/Msc Engineering (Shahada za Uzamili ktk Uhandisi)

1. Eng. Gerson Lwenge
2. Eng. Ramo Makani
3. Eng. Hamad Masaun
4. Eng. Isaack Kamwele
5. Eng. Stella Manyanya
6. Eng. Edwin Ngonayni

Master of Science/Msc (Shahada za Uzamili ktk Sayansi)

1. Charles Kitwanga
2. January Makamba
3. Anastazia Wambula

Master of Laws/LLM (Shahada za Uzamili ktk Sheria)

1. Ummy Mwalimu
2. Antony Mavunde
3. William Tate Ole Nasha
4. Angella Kairuki

Master of Arts/MA (Shahada za Uzamili ktk Sayansi ya Jamii)

1. Mwigulu Nchemba
2. Jaffo Seleman
3. Angelina Mabula
4. Charles Mwijage
5. Nape Nnauye

Bachelor of Law/LLB ( Shahada ya Kwanza ya Sheria)
1. George Simbachawene

Stashahada za Ualimu/Wanaendelea na Masomo ya Uzamili
1. William Lukuvi
2. Jenista Muhagama

Hivi JOYCE NDALYCHAKO Ni Professor!!?? Maana Nilikuwa Nasikia Ni Dkt!!! ALAFU Hao Wanaoendelea Na Kusoma!! Mbona Muda Unazidi Kuwatupa Mkono!!! Kumbe Kuna Mawaziri Viwango Vyao Kitaaluma Ni Vya Kawaida, Ndio Maana Wanakwaruzana Na WATENDAJI Wa Wizara Husika!!! Lile Suala La MAWAZIRI Wawe WAAJIRIWA!!
 
Ningekuwa na mamlaka ningefanya hivi....Mwamunyange ningemteuwa kuwa mbunge halafu nimfanye waziri wa Jeshi.....Saidi Mwema ningemfanya waziri wa Polisi.Hapo ingekuwa hakuna siasa ni Taaluma kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom