nyankolo komoyo
Member
- Sep 14, 2015
- 18
- 3
jaman utatima ni tauchukia milele daima mpaka sasa najiandaa kuacha masomo niliokua nikisoma katika chuo cha afya kwa sababu sina wa kunilipia karo ili nindelee na masomo daaa bora ningeli fariki mimi alie ni zaa abaki mpaka sasa nashindwa la kufanya nianzie wapi niishie wapi sina hata senti mia na chuo tunafungua 2 january hakika nimeamini ukiwa huna wazazi wala ndugu huwajui ni bora kufa kuliko kuishi jamani