Recent content by lingw'ina

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nimeombwa hela ya wigi 300,000/= kuna wigi la bei hiyo?

    Kaka zipo,ila huwa wanarudia kushonea.Nguo mpaka milioni usishangae za laki mbili.Mpe shem na yeye apendeze.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kawe mwaka huu ushindani mkali sana

    Mbavu zangu jaman
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi kuna machangudoa Moshi?

    Ww kiboko,Marekan,Uingereza na sehem mbalimbali duniani kuna makahaba huko nako wamepelekwa na CCM,mmmmh div 5.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Asante Magazeti ya Leo kwa kuitendea haki taaluma ya Habari hapa Tanzania

    Hii Twaweza walipitia vyama vyote ndugu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva kuandika historia mpya ya Tanzania

    Chezea shemeji wa mgombea nn
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anafanyiwa maamuzi na mashoga zake

    Weee hawaumi,kuna mchicha mwiba hao anabanduliwa na yeye anaweza kubandua pia.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

    Kwenye maji mkuu ni kina siyo kima na kwenye mshahara ni kima siyo kina.Ni maneno tofauti kwa vitu tofauti.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Pikipiki gani ina pulling machine ya kunifikisha CONGO DRC na kurudi Dar?

    Tafuta pikipiki kuanzia cc 500 kwenda juu.Hakikisha unavaa nguo nzito za kukabiliaba na baridi.Jitahidi kutembea mchana tu na ucku upumzike.Unaweza kabisa kwenda na kurudi.Mm nilishawahi kutumia DT 125 Suzuki toka Dar to Singida nilifika saa 6 ucku toka asubuh kwa sababu kuna muda inabidi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Kwani marehemu kauawa? akili za kushikiwa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Dj Fety wa Clouds mbona hasikiki redioni kunani?

    Labda anasoma na kufuta kwenye post yako sehem unapofanya kazi siyo ishu sana yanaweza kuwa ni maamuzi tu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni kiumbe gani hapa duniani huishi milele bila kufa?

    Hahahaha,hakikufi?hakifi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

    Yaan ndugu humu jf sasa hivi GT hawapo wameingia wavamizi kila kitu kwao siasa.Dai na Kiba muziki ni kazi yao hata ACT wakiwataka wataimba mradi mshiko
  13. L

    JamiiForums Tanzania Asumpta Mshana kumshtaki Edward Lowassa!

    Hili gazeti la Uhuru ni la hovyo sana sawa na Tanzania Daima tu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri wa Elimu na mbunge wa Mufindi, Joseph Mungai ajiunga CHADEMA Leo

    Huyu si ndiye aliyeunganisha masomo kibaaao na kufuta michezo mashulen wakati mwanae anasoma nje,kigagula wasiasa huyu.
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    Mm mke wangu ndio zake na nishazoea.
Back
Top Bottom