Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Uongo wa TANESCO mwisho leo - September 14, 2015

Ccm oyeeeeeeeeeee!
Kidumu chama cha mapenziiii. - - - sorry Mapinduzi iiiiiiiiii

Watatuwezaaaaaaaaaa?? ----(hawatuweziiii) in women's voice.

In Mwenyekiti wa Chama Voice.... Miaka 50 ya uhuru
Tumethubutu
Tumeweza
Tunasonga mbele.

(wimbo) CCM ni ileile,... ccm ni ileile....

Ccm hoyeeeeee, Chagua Makomeo😀😀
Msijali watanzania.. TANZANIA YA Magufuli itakuwa ya Viwanda..:what:. (Majenereta china yapo.. Tunanunua.. 🙄

Dah! Yaani ccm wametuteka nyara aisee.wanatuvuruga wanatuburuza watakavyo.
 
kurasini toka Jmosi Jioni Mpaka Leo Nimetoka saa 2 asubuhi hakuna umeme

Nimeingia Posta Saa 8:30am Umeme ulikuwepo just now saa 10:30am WAMESHAKATA.
Hongereni Tanesco NGESEWA Makunina Nyie.
I LOVE U TANESCO.
 
Watu wako kisiasa sana wakati huu lakini tatizo la Umeme ni kubwa kuliko linavyochukuliwa, Nchi bila umeme wa uhakika uchumi ndio unazidi poromoka na sekta nyingi zimeathirika likiwemo soko la ajira ndio linazidi didimia. Hatua zisipochukuliwa za haraka nchi inazidi kuangamia. Raisi na baraza lake la mawaziri wanapaswa kuliangalia hili na kuacha kuzurura kwani linaweza hata kuitoa serikali madarakani kwenye uchaguzi.

Muda unazidi kwenda kwa stori zinazoletwa na tanesko ukizingatia nchi iko kwenye tatizo la umeme tangu JULY 2015 na leo ni September 14/2015, huku mara ya kwanza walikuwa wanasema wanafanya matengenezo mpaka ilipofika August ndio wakaja na stori ya gas.

Kikwete nchi inakushinda, na inataka kukushinda wakati mbaya sana. chukua hatua vinginevyo ccm ife kwenye historia ya taifa ukiwa mwenyekiti wa chama.

Nchi imshinde mara ngapi mkuu
 
hvi mikoa yote





Nasikia Arusha umeme hakuna tangu jana hata zile ratiba za mgao kwa zamu haupo tena.watu wamechukuwa mikopo ya kufanya biashara sijui watarejeshaje. Wamepanga nyumba za biashara sijui kodi watalipa nini.
 
Nchi iliyopata uhuru miaka 54 iliyopita ambayo imejaliwa rasilimali za kutosha bado umeme ni wa kubahatisha?
Nchi ambayo mgombea Urais wa chama tawala anaahidi kufufua viwanda kabla ya kuhakikisha upatikanaji wa umeme, sijui hvyo viwanda vitazalisha kwa kutumia kuni au umeme huhuuu tuliouzoea?

Ndio hapo tujiulize watanzania tuendelee kuichagua ccm ya kazi gani. Watu tunakuwa maskini wa kipato halafu tunaishangilia ccm kama mazuzu? Haya ni maajabu ya karne.
 
We Jamaa Ni Mpumbavu Kweli Kwan Ccm Ndo Inaleta Mvua?Ccm Ndo Inaendesha Mashine Za Tanesco?Ccm Ndo Inaharibu Miundombinu Ya Umeme?Acheni Ujinga Sio Kila Kitu Ni Siasa Tu....

Mkuu vyanzo vya umeme si lazima iwe maji tu kama ilivyozoeleka miaka nenda rudi!! kusingekua na ubadhirifu resources za kutosha zingeelekezwa kwenye kubuni njia nyingine za kuzalisha umeme wa uhakika. Hata mitambo ingekua si ya kimagumashi spana mkononi
 
huu utakuwa ni mwisho kwa sababu ya matengenezo. watakaa siku kadhaa watakata na kusema kima cha maji mtera kimepungua. sababu haziwezi kosekaa. hii ndio bongo

Kwenye maji mkuu ni kina siyo kima na kwenye mshahara ni kima siyo kina.Ni maneno tofauti kwa vitu tofauti.
 
Mkuu vyanzo vya umeme si lazima iwe maji tu kama ilivyozoeleka miaka nenda rudi!! kusingekua na ubadhirifu resources za kutosha zingeelekezwa kwenye kubuni njia nyingine za kuzalisha umeme wa uhakika. Hata mitambo ingekua si ya kimagumashi spana mkononi

Mkuu Sindomana Gesi Ipo Kwenye Mchakato,mbona Miezi Michache Iliyopita Umeme Ulikuwa Wa Uhakika,mbona Sasa Hivi Tukiambiwa Wanaboresha Kwa Kuweka Gesi Hatutaki Kuelewa,tunabaki Kulaumu?Hivi Miaka 10 Iliyopita Umeme Ulikuwa Umeunganishwa Kwa Asilimia Ngap Na Sasa Upo Kwa Asilimia Ngap?Wangap Wanafikiwa Na Umeme Kwa Sasa Mbona Hili Hamuliongelei?
 
Halafu leo hii watu wanaolihujumu Taifa na kuleta adha mbalimbali ikiwemo ya mgao wanaachiwa nakusafishwa, halafu wabunge wa CCM bungeni wanapiga kura ya Ndiyooooooo kiunafiki ili kuinusuru serikali kwa mambo yaliyo wazi kabisa, huu si uzalendo hata kidogo
 
Magufuli kwisha kazi, toka ameanza kampeni hajawahi kutamka neno umeme. Anaongelea kuleta mageuzi ya viwanda bila umeme, like a headless chicken.

Mtanzania, kataa mgao wa umeme, kataa CCM kataa Magufuli. Hawana jipya kubadili kitu kwenye umeme, CCM ni ile ile
 
Gesi imejamu so itabd km mwezi tena kuzibua mitaro na mifereji upya
 
CCM imechangia vipi ujenzi wa barabara?

mkuu barabara inahtaji usimamizi na plans ya how to locate amount ya kutosha haidepends much na natural resources lakini umeme unadepends much on natural resources like gas and rain,hata kungekua na usimamizi vipi still kama hizo resources hazipo usimamizi na plans are nothing.
 
mkuu barabara inahtaji usimamizi na plans ya how to locate amount ya kutosha haidepends much na natural resources lakini umeme unadepends much on natural resources like gas and rain,hata kungekua na usimamizi vipi still kama hizo resources hazipo usimamizi na plans are nothing.

Kuanza tu na herufi ndogo kwenye sentensi inanipa picha kuwa huwezi kurelate kati ya a poor performing government na ukosefu wa umeme.
 
Dah,Umeme unakatika 24hrs kweli?? TANESCO mna nia gani na watu wanaowategemea kuingiza siku ili watoto wao wapate kula,maji yetu ya visima yanategemea umeme,Viwanda vyetu,kweli mmetuchoka,Umeme wenu km mnatupa misaada vile!! Ki ukweli umeme wa solar unahusika sana kwa manyanyasaso haya,inabidi makampuni yachangamkie fulsa hii mkishusha bei kidogo na kuweka vfaa vya uhakika Tanesco wanaweza kupotezwa vbaya sana. Hebu makampuni husika mliangalie hili.
 
yaan apa mwanza hadi wakaz wamezoea...hauna mda maalum...kama mda huu umekata
wkiend umekatika sa moja unarudi sa saba...yan nmekosa mafuriko cku mbil
 
Like father,like son.Alivyo Kikwete ndivyo walivyo na watoto wake.Usitegemee jambo jema kutoka TANESCO.Wewe tegemea baya,likitokea jema mshukuru Mungu.
Dah umeme ulikatika tangu jana asubuhi hadi muda huu haujarudi.

Wiki yenu moja mliyotangaza si imeshaisha? Turudishieni umeme.
 
Back
Top Bottom