andy90
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 269
- 105
Habarini wandungu!
Jimbo la kawe mwaka huu ni ngumu kutabiri ni nani ataibuka kidedea kutokana na kuwepo kwa wagombea wote wawili kukubalika na wananchi.
Jambo lingine ni kuwa mgombea aliyekwisha ongoza miaka mitano ambaye ni wa upinzan kuonekana kuridhika na nahis labda ameashajihakikishia ushindi au kujiamin kupita kiasi kwa kuamin kuwa labda ashakuwa maaruf huvyo hata viti maalum awez kosaa. Hii inaweza kumletea shida mgombea huyu wa upinzani na kufanya ashindwe.
Jitihada anazozifanya kufanya ashinde jimbo kwa mara nyingine ni ndogo sana tofaut na mara ya kwanza alipokuwa akiomba ridhaa ya wana kawe. Huyu wa chama tawala anaonekana kujizatiti sana na kuhitaj nafasi hiyo tofaut na mwengine.