Zikwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 239
- 131
Kuomba ushauri kwa mashoga zake sio tatizo ila tatzo ni huyo anaeombwa na kutoa ushauri na kazi ipoo lakin kma akiwa ni mtu mzima na mwenye kujielewa basi apo sawa hamna shida ya mshauri huyo...
Unajua msichana ambae lbda ni mara yake ya kwanz kuwa katika mahusiano au bado n mdgo kiakili nasi shida inaweza kuwepo hapo kwani anapotokea kumuamin mtu kwamba ndo atakaempa ushauri basi ikiwa kosa ni dogo tu atamfata
Nini ufanye ssa kma hicho kinakukela..Taratibu acheni mauogomvi yasiyo ya msingi na pia tumia mda wako kumjua mpenzi wak kwan ugomvi unatokea kwa sababu bado hujamjua vizuri mpenzi wako(mara nyingi sio mda wote )