DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Tukubaliane kimsingi hii gia ya kumtumia Balali itawaletea shida sana akina Lowasa kabla na baada ya uchaguzi kama zilivyoanza kuwatokea puani sera za babu seya na magaidi wa zanzibar
Na EL hajawahi kuongelea habari ya BALALI,siku hiyo jangwani hakujibu ki2 baada ya kuulizwa na wananchi.