Recent content by Linababy

  1. L

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Zanzibar Bwana utachoka mwenyewe!!

    kumbe ulionaeeeeeeeeee alafu wajiita waswahili.
  2. L

    JamiiForums Tanzania huyu ni nani??

    mwanya ka uchochoro
  3. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

    unafiki mtupu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    Kweli muwamba ngoma huvutia kwake, naona hapa kila mtu anamsifia mkewe au demu wake, ila ukweli wanyamwezi wako bomba japo mimi ni msichana but nimeadmit. Why lie?
  5. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Hivi kwanini NCCR, TLP hawapatani na CHADEMA?

    Kakwambia nani mbatia ni mkibosho? we nawe acha kukurupuka Mbatia ni mwenyeji wa kirua bana acha kutulisha matango pori.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chadema can do this - they sould do it now!

    That's true, point taken
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hivi wakiongea mpaka wainue vichwa?

    kichefuchefuuuuuuuu put it off plz
  8. L

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania hoi tena

    kichwa cha mwendawazimu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Imevuja: Jokate anaishi na Hasheem Thabeet

    who cares
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 LISSU, MNYIKA, MDEE, MBOWE. ni sawa na wabunge 200 wa ccm

    umemsahau mzee wa kazi shibuda. bungeni lazima pachimbike. ccm mbona watatapika nyongo
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nini kilichotokea Zanzibari? ni muafaka tu au kuna kingine Tusichokijua

    nashangaa kwa sababu hata wale waliomvalisha mbwa tshirt ya ccm walikua wanatafutwa, sasa na hawa waliomvalisha n'gombe kofia? au ng'ombe ana thamani sana kwa sababu ya nyama? huku mbwa naye akiwa na thamani ya ulinzi. utataaaaaaaa
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kufuta alama ya wino kwenye kidole

    mafuta ya taa yanatoa kabisa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidieni jinsi ya kuepusha mimba

    Ngoja nikusaidie kuna blog moja inaitwa mashost, itafute wameanalyse hiyo topic. Kama hutaipata tafuta blog ya bwaya then kwa pembeni ameweka blog nyingine kibao hapo utaiona hiyo blog ya mashost. Pia unaweza kupiiz nje lakini hii ni risk kwani wanaume wengi wanajisahau inahitaji umakini kiasi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

    Mkewe atakua mmojawao
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Natangaza kugombea Ubunge 2015. kupitia CHADEMA, naanza maandalizi sasa

    Kweli kabisa john mnyika kwa sasa ni bosi wa mukandala pamoja na mke wake. Mnyka saluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuut baba.
Back
Top Bottom