Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Ni wazi kwamba CHADEMA kama chama bado kinakabiliwa na challenges nyingi ktk kukijenga na kukipa mtazamo mpya. Lakini kuna jambo nimelifikiria ningependa tuchangie kwa mawazo zaidi. Kwa kuwa sasa ni rasmi CHADEMA ina wabunge 45 mjengoni basi ni wakati muafaka kufanya organaizesheni ya kujenga ofisi za CHADEMA. Ikiwa kila mbunge wa CHADEMA atachangia sh 500,000 kwa mwezi (Hii inawezekana kabisa na nimna ya ku-ernegize the base) basi kwa mwezi Tshs kama Milioni 22 zitakusanywa jumlisha na 28 kutoka say kwenye ruzuku kutakuwa na 50milioni kila mwezi. Ambayo ni sawa na milioni 600 kwa mwaka.
Hivyo basi under assumption kwamba maeneo ya ujenzi yatapatikana kwa kujitolea, ramani na baadhi ya vifaa kuna uwezekano wa kujenga ofisi 12 za kisasa katika mikoa kadhaa Tanzania. Zoezi hili likiendelea mwakani ni kwamba kila mkoa utakuwa na ofisi ya kueleweka ya CHADEMA. Hili ni jambo muhimu hasa ukichukulia ofisi ni symbol muhimu kuonyesha permanency ya oganaizesheni yeyote ile.
Ofisi hizi ziwe tofauti kabisa na zile za CCM na Dr. Slaa na wabunge wote wanaweza kutumika kuhamasisha kupata michango zaidi. Kila mwezi mkoa mmoja. Wakati huo huo wanaweza kusecure maeneo kila wilaya kwa ajili ya ofisi hizo pia. Kisha kata, kijiji etc. Namna ya uendeshaji wa ofisi hizo tunaweza kujadiliana na kutoa michango ya mawazo.
CHADEMA tufanye hili linawezekana kabisa. Dr. Slaa, you still have the momentum!