Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

mshauri wa rais mambo ya kisiasa- Malaria Sugu
katibu mkuu wizara ya fedha- Zawadi ngonda
 
Waziri wa Wasiokuwa na Wake - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Viwanda vya Cement - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Treni za Umeme - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa 50% Usalama wa Taifa - Dr. Wiliboard Silaa
Waziri wa Strippers - Freeman Mbowe
hii itakuw ani serikali ya wasio na akili kama wewe mwenyewe, mtu mmoja wizara zote,
unaonesha una uwezo mdogo sana wa kuwaza
 
Waziri wa Nchi - Uratibu Mipangokazi, Nadharia na Insha za Wakimbizi - Mzee Mwanakijiji, Naibu Rev. Kilevi Kishoka
 
Jamani tuache utani, tuwe serious mimi nahisi kwa namna kikwete alivyo na mikakati mikali tena basi ktk kipindi ambacho ana lundo la ahadi za kununua bajaji lazima ataunda timu kabambe ya askari wa miavuli. Kwa kuwa kuna lundo la ahadi atalazimika kuongeza ukubwa wa serikali ili atimize ahadi. Kutokana na uwezo wao ktk kuwatumikia wananchi wa Tanzania, rais kikwete kwa kutumia mamlaka aliyonayo kikatiba atateua wabunge kadhaa wakiwemo shekhe yahaya hussein, prof maji marefu, lawrence masha, n.k. Wizara na askari wa miavuli ambao nasikia wapo kwenye pipeline ni kama ifuatavyo:-

1. Ofisi ya rais, utabiri matukio na ulinzi wa rais majukwaani (shekhe yahaya Hussein)

2. Ofisi ya rais, uratibu wa shughuli za uchaguzi na uchakachuaji (riziwan kikwete)

3. Ofisi ya rais, uratibu safari za nje za kuomba misaada (sofia simba)

4. Wizara ya starehe, taarabu na burudani mbalimbali (salma kikwete)

5. Wizara ya waathirika wa madawa ya kulevya na watoto mitaani (miraji kikwete)

6. Wizara ya maji, uogeleaji na uvuvi (shukuru kawambwa)

7. Wizara ya habari na udhibiti wa vyombo vya habari (muhingo rweyemamu, naibu wake issa michuzi)

8. Wizara ya ardhi, nyumba na makazi (hawa ghasia)

9. Waziri wa mambo ya ndani na udhibiti wa wanaharakati (lawrence masha)

Samahani jamani nitaendelea kuwatajia kesho orodha ni ndefu mno.
 
Ooohhooo, nilitaka kusahau jambo muhimu, nasikia kiwete oohh sorry, kikwete baada ya kusikia malalamiko ya vyama vya siasa kuhusu nec ameamua nayo aivunje na kuunda nec ya ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Mwenyekiti wa tume atakuwa abdulahman kinena na mtendaji mkuu atakuwa tambwe hiza. Bila shaka, wananchi watashangilia sana mabadiliko hayo.
 
Baraza lolote la Mawaziri litakaloongozwa na Kikwete litakuwa bogus tu.

Nategemea Pinda arudi kuwa PM, na wasanii sanii kibao tu kuendeleza upambe ule ule tu.
 
Nimepata taarifa muda si mrefu eti bw. Tambo Hizo atakuwa ndiye msemaji/mlopokaji mkuu wa ikulu. Halafu kuna mabadiliko pia kwenye uongozi wa chama. Eti chama kinataka kijipange upya kwa ajili ya ushindi wa kimbunga 2015 kwa kuingiza damu changa. Nafasi ya katibu mwenezi ya mzee chiligati itajazwa na januari makombo ambaye atasaidiwa na kijana machachali wa peter selukamba. kikwete hataki utani safari hii manake kwa mara ya kwanaza ameamua katibu mkuu wa chama awe mwanamke nae si mwingine bali ni mama hawa ngurume ambaye hivi karibuni ameupgrade elimu yake na kufikia form four. Wapinzani mkae chonjo.
 
hata wakimtangaza huyu msanii mkwere kuwa raisi, anaeigiza uongozi mi bado raisi wangu atabaki kuwa DR SLAA.
 
bwana jethro nawe fisadi nini? unatafuta tathmini ya watu kama utatajwa kwenye uwaziri. sio wewe tu bali hata huyo unaedhani kuwa atakuwa rais sisi hutumtambui. tunamtambua rais tuliempa kura zetu. DR wa ukweli. sio mwingine ni SLAA
 
Na hizi ahadi zisizotekelezeka anazotoa Mkuu wa Nchi mwaka huu ndio zinaiweka CCM katika hali ngumu zaidi mwaka 2015.

RAIS safi shida watendaji wake, Ahadi zitatekelzeka kwa kadri hali inavyowezekana, hata mtoto alianza kwa kutambaa. Ok Tukubali SLAA kaingia Ikulu Mawaziri watakuwa kina nani
1. Mr II waziri wa Utumishi
2. Mdee waziri wa ulinzi
3. Lema waziri wa Afya
4. Mchungaji wa Iringa waziri wa Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
5. Zito kabwe waziri wa jinsia na watoto
6. Mbowe waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki
7. endeleza kaka tupate Wizara zote na manaibu waziri halafu tuje wakuu wa mikoa 23, wakuu wa wilaya 133, makatibu wakuu, wakurugenzi wa Taasisi, tanapa, bandari

Au ataazima walliopo? au atataka mseto? kwa asilimia ngapi basi
 
Zito Kabwe -jinsia na watoto? umeua mkuu
 
Wana JF,

Hebu tujaribu kutoa maoni yetu kwani twajua fika tu kuwa JK niRais, nasi tujaribu kumpagia mawaziri wake atakao waleta.
Ndio najua Pinda atakuwa MP, Je wengine na je Baraza litakuwa mseto au litakuwa lile lile?
 
Baraza sio mseto zubeda alishasema mseto kwa wabunge 30 wa chadema tena matozi au unataka Mdee tumpe waziri wa fedha, na Mr II awe waziri wa utumishi, zitto jinisia na watoto.
Tutaje
 
Ooohhooo, nilitaka kusahau jambo muhimu, nasikia kiwete oohh sorry, kikwete baada ya kusikia malalamiko ya vyama vya siasa kuhusu nec ameamua nayo aivunje na kuunda nec ya ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Mwenyekiti wa tume atakuwa abdulahman kinena na mtendaji mkuu atakuwa tambwe hiza. Bila shaka, wananchi watashangilia sana mabadiliko hayo.
Mkuu ficha uso....! Utatafutwa....!!!!! Shauri yako....
 
Kwa JK anao uwezo wa kuwaweka wapinzani katika baraza lake la mawaziri. kumbuka hata muafaka wa zanzibar alikuwa anataka uishie kwenye vikao vya bagamoyo kabla ya zanziba LAKINI tatizo wenye chama chao (KINANA, KINGUNGE, MAKAMBA nk) Hawatamkubalia akitaka ahame akaanzishe chama chake.

Tatizo sio JK tatizo wamiliki wa CCM!!!!!

BUT JK OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom