Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Albert Einstein once said, "We can't solve problems by using the same kind of thinking we used when we created them"....

Sikutarajia muujiza wowote kutoka kamati kuu ya CCM...Mwana wa uovu ni uovu huohuo!!
1 Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7 Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12 Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13 Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati
15 Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
18 Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
20 Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
21 Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
23 Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
24 Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
25 Dr.Maua Abeid Daftari - Mjumbe
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
28 Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
30 Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
31 Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
37 Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

Nikiangalia hapo juu sita ana wabaya wake kibao
Alafu yeye hatakuwa tena kwenye hiyo kamati , kwa hiyo ile ambition yake ya kuwa Raisi aweke kando maana fitina huwa zinaanza kwenye hii kamati kama si mjumbe is very hard to penetrate
 
''''hata chuki za wazi dhidi ya Kikwete zimeegemea zaidi katika udini kuliko udhaifu wake kama kiongozi''''

[/COLOR][/SIZE]
[/COLOR][/I][/B]

KUUZUNGUMZIA UDINI NI UVIVU WA KUFIKIRIA AU UWEZO MDOGO KIAKILI
LAKINI SIUNGANI KABISA NA WEWE KWAMBA CHUKI NYINGE KWA KIKWETE ZIMEJENGWA JUU YA DINI YAKE NO WAY
HUYU KIKWETE SI 2005 TULIMCHAGUA KWA 81%, INAMAANA WAKATI HUO TULIKUWA VIPOFU HATUONI ?, NINI KIMETUBADILISHA SASA?HAKIKA SI UDINI BALI NI :
1.KUSHINDWA KUDHIBITU UFISADI
2.KUSHINDWA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI
Kwa mfano mwaka 2005 alipokuwa anaingia madarakani ukilinganisha na sasa kwa vili vitu muhimu bei zimepanda kama ifuatavyo
sembe ilikuwa sh 250 sasa ni sh 800
sukari ilikuwa sh600 sasa ni sh 1800
Nyumba chumba ilikuwa sh 20,000( maeneo ya KND) sasa ni sho 50,0000
Mchele ilikuwa sh 500/ kwa kg sasa ni sh 1500/=
Mkaa gunia ilikua sh10,000/= sasa ni sh 30,0000
hiyo ni mifano , inayoonesha bei za vitu kwa kipindi cha 5 yrs imepanda zaidi ya mara tatu
niwaulize ni pato la nani limepanda mara tatu kwa kipindi hicho hicho .Hii maana yake ni kwamba maisha yameongezeka ugumu .
kwa hiyo uamuzi wa wanachi kama mimi ni kumuadhibu ktk ballot box japo wamechakachua

Mimi nilimpigia kikwete kura 2005 kwa kuwa nilitarajia mabadiliko , sikuangalia dini yake na 2010 sijampigia kwa sababu hizo hapo juu sikuangali dini yake ,niliona SLAA ni tumaini jipya na agepambana na ufisadi na kutoa elimu bure ambayo wataalamu wansema unahitaji 350Bn ili usiwachangishe wananchi,SLAA alisema atapata hizo kwa kufuta misaamaa ya kodi ilikithiri
NIKAMCHAGU HAKUNA DINI HAPO
 
HIVI HII KAMATI NI YA WAISLAMU TU?
WAKRISTO WAKO 11 WAFUATAO:-
1.Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
2.Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
3.Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
4.Ndugu Benjamin William Mkapa - MjumbeNdugu John Samwel Malecela - Mjumbe
5.Capt. (mst) John Zefania Chiligati
6.Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
7.Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
8.Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
9.Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
10.Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
11.Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
KATI YA WAJUMBE 37 WANAJAMII MUNALIONAJE HILI
 
Andy: vyombo vya habari ovyo kabisa hapa Bongo yaani unasema ugali wenyewe wanaandika wali
Sam: mimi siku hizi sisomi magazeti wala kusikiliza na kutazama TV

Andy: vipi huu mtanange
Sam: mimi nazuga tu
 
KUUZUNGUMZIA UDINI NI UVIVU WA KUFIKIRIA AU UWEZO MDOGO KIAKILI
LAKINI SIUNGANI KABISA NA WEWE KWAMBA CHUKI NYINGE KWA KIKWETE ZIMEJENGWA JUU YA DINI YAKE NO WAY
HUYU KIKWETE SI 2005 TULIMCHAGUA KWA 81%, INAMAANA WAKATI HUO TULIKUWA VIPOFU HATUONI ?, NINI KIMETUBADILISHA SASA?HAKIKA SI UDINI BALI NI :
1.KUSHINDWA KUDHIBITU UFISADI
2.KUSHINDWA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI
Kwa mfano mwaka 2005 alipokuwa anaingia madarakani ukilinganisha na sasa kwa vili vitu muhimu bei zimepanda kama ifuatavyo
sembe ilikuwa sh 250 sasa ni sh 800
sukari ilikuwa sh600 sasa ni sh 1800
Nyumba chumba ilikuwa sh 20,000( maeneo ya KND) sasa ni sho 50,0000
Mchele ilikuwa sh 500/ kwa kg sasa ni sh 1500/=
Mkaa gunia ilikua sh10,000/= sasa ni sh 30,0000
hiyo ni mifano , inayoonesha bei za vitu kwa kipindi cha 5 yrs imepanda zaidi ya mara tatu
niwaulize ni pato la nani limepanda mara tatu kwa kipindi hicho hicho .Hii maana yake ni kwamba maisha yameongezeka ugumu .
kwa hiyo uamuzi wa wanachi kama mimi ni kumuadhibu ktk ballot box japo wamechakachua

Mimi nilimpigia kikwete kura 2005 kwa kuwa nilitarajia mabadiliko , sikuangalia dini yake na 2010 sijampigia kwa sababu hizo hapo juu sikuangali dini yake ,niliona SLAA ni tumaini jipya na agepambana na ufisadi na kutoa elimu bure ambayo wataalamu wansema unahitaji 350Bn ili usiwachangishe wananchi,SLAA alisema atapata hizo kwa kufuta misaamaa ya kodi ilikithiri
NIKAMCHAGU HAKUNA DINI HAPO

KAKA NAUNGANA NA WEWE KWA ASILIMIA 100

ELIMISHA WATU HAWA WANAOONEKANA MASKINI WA MAWAZO

HIZO RED YANI NI :A S thumbs_up: HATA MIMI ILIKUWA HIVYOHIVYO!!
 
Nakupongeza kwa kukataa udini wewe ndiye mtanzania halisi na mzalendo unayelitakia mema taifa letu.

Ukienda bungeni unaweza kukuta wakristo ni wengi, kamati kuu ya ccm WAISLAMU NI WENGI, TRA na BOT unaweza kukuta wakristo ni wengi, uongozi wa juu Umoja wa Wanawake CCM Waislamu ni wengi. Hili jambo la kawaida katika nchi ambayo inachagua viongozi bila kuangalia dini ya mtu, huwezi kupata uwiano sawa.

Idadi ya watu wa dini moja katika vyombo vya kutoa maamulizi sio ajenda ya msingi hapa Tanzania,,,,, agenda ya msingi ni maamuzi yanayofikiwa na vyombo hivyo kwa maslahi ya taifa bila kujali dini, jinsia, ukabila wala rangi.

Waheshimiwa msisahau kuwa ufisadi hauna dini na umaskini hauna dini.
 
Kaka kama unakerwa na udini uliopo humu!!! nakuomba usiingie ndani ya hii forum,,,, humu kuna GREAT THINKERS wachache mno kiasi kwamba inabidi uchukulie article wanazopost watu wengine kama unasoma folk stories. ni wengi ambao hawatumii bongo zao kutafakari bali wanatumia imani za mioyo yao(dini) kutafakari na kuamua.
Kila kitu humu ndani,wengi hukitafsiri kwa misingi ya chuki za kidini....
KAULI YANGU KWA WANA JF WOTE WENYE AKILI FUPI KAMA MAISHA YA FUNZA,, MNAOFIKIRI KWA MISINGI YA ITIKADI NA SI UZALENDO:-----
huwezi ukaifanya Tanzania kuwa taifa la kikiristo kamwe na wala huwezi kulifanya kuwa taifa la kiislamu kamwe kwani idadi yetu inalingana au kukaribiana sana. na isitoshe muingiliano wa kijamii baina yetu(kuchanganyika,kuoleana, kushereheka pomoja,kuhuzunika pamoja na hata kuzikana) ni mkubwa kiasi ambacho huwezi kututenganisha.
poleni wote mnaofikiri kwa kutumia makalio badala ya ubongo na poleni sana mnaofuga chuki mioyoni mwenu na kuwatenga watu kutokana na dini zao. nilisema na ninasema''''hata chuki za wazi dhidi ya Kikwete zimeegemea zaidi katika udini kuliko udhaifu wake kama kiongozi''''

Hapana uwezo wa huyu jamaa wa kuongoza unatia mashaka. Ukweli kuwa alichaguliwa kwa asilimia zaidi ya 80% miaka mitano iliyopita unashuhudia kuwa nchi hii haiangalii udini katika kuchagua viongozi. Watu walikuwa na matumaini makubwa na uongozi wake. Ukweli ni kuwa hali ya maisha imeporomoka sana ndani ya miaka mitano ya uongozi wake na umaskini umeongezeka. Besi za vitu hazishikiki kwa sasa na kila siku ukienda madukani unakuta mabadiliko makubwa ya bei.
 
1 Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7 Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12 Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13 Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati
15 Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
18 Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
20 Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
21 Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
23 Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
24 Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
25 Dr.Maua Abeid Daftari - Mjumbe
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
28 Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
30 Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
31 Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
37 Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

Nikiangalia hapo juu sita ana wabaya wake kibao
Alafu yeye hatakuwa tena kwenye hiyo kamati , kwa hiyo ile ambition yake ya kuwa Raisi aweke kando maana fitina huwa zinaanza kwenye hii kamati kama si mjumbe is very hard to penetrate

Bandugu kumbukeni Anna Abdalla ni mke wa spika wa zamani Pius Msekwa, hivyo ananafasi kubwa ya kupitishwa ili kulinda maslahi ya chama chao.
 
Wanafiri hatuna imani na ccm kwasababu ya bakrashea au misalaba, hapana......wandugu!! Ni mstakabali mzima wa nchi yetu
 
kaka naungana na wewe kwa asilimia 100

elimisha watu hawa wanaoonekana maskini wa mawazo

hizo red yani ni :a s thumbs_up: Hata mimi ilikuwa hivyohivyo!!

mimi hizi propaganda za udini zinanikera kweli zinafanya watu wasione ukweli , wasione kikwete is weak bali waone anaonewa kwa sababu ya dini yake
na hizi zilianziswa na ccm baada ya kuona mambo yamewazidi !!!!!!!!wamepanda mbegu mbaya sana
ninaona sasa mijadala ya dini imepamba moto baada ya hapo

alaaaaaaaniwe aliamsha hisia hizo

kikwete hapendwi kwa sababu hasn't improved people life , watu wamechoka jamani sio dini yake !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
1 Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7 Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11 Ndugu Benjamin William Mkapa - Mjumbe
12 Dr. Salmin Amour - Mjumbe
13 Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati
15 Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh - Mjumbe
18 Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
20 Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
21 Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
23 Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
24 Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
25 Dr.Maua Abeid Daftari - Mjumbe
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
28 Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
30 Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
31 Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe
37 Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf - Mjumbe

Nikiangalia hapo juu sita ana wabaya wake kibao
Alafu yeye hatakuwa tena kwenye hiyo kamati , kwa hiyo ile ambition yake ya kuwa Raisi aweke kando maana fitina huwa zinaanza kwenye hii kamati kama si mjumbe is very hard to penetrate

Ni bora hata asinge mbeza Dr. Slaa wakati wa kampeni. Pia hawa jamaa iliwauma kumshusha JK wakati wa kampeni kwa kutaka mdahalo na mgombea Urais wa Chadema, Dr. Slaa.!
 
HIVI HII KAMATI NI YA WAISLAMU TU?
WAKRISTO WAKO 11 WAFUATAO:-
1.Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
2.Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
3.Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
4.Ndugu Benjamin William Mkapa - MjumbeNdugu John Samwel Malecela - Mjumbe
5.Capt. (mst) John Zefania Chiligati
6.Ndugu Amos Gabriel Makala - Mjumbe
7.Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe
8.Ndugu Samwel John Sitta - Mjumbe
9.Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
10.Ndugu Anne Semamba Makinda - Mjumbe
11.Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
KATI YA WAJUMBE 37 WANAJAMII MUNALIONAJE HILI

Hii ni Kamati Kuu ya CCM. Ukristo au Uislamu wa mjumbe unahusikaje hapa? Kwani udini wa mtu ni kigezo muhimu kwenye uteuzi/uchaguzi wa wajumbe hawa? Haya sasa Anna,Anna na Kate wote Wakristo limekujaje hili wakati Wajumbe wengi ni Waislamu?
 
niliwahi kusoma profile fulani mwanzoni mwa miaka ya tisini iliyoonyesha kuwa madikteta wengi wa africa, Latin America & Asia walikuwa gaduate au waliwahi kuhudhuria mafunzo Havard University.

mjumbe sijakupata vema
 
Disappointment
In my opinion, the only thing that could linked CCM and the people (Wazalendo) was Samweli Sitta with his anti-graft crusade. Now he will no longer there! The fisadis have won the game as for that reason I say: DOWN WITH CCM!
 
Kaka kama unakerwa na udini uliopo humu!!! nakuomba usiingie ndani ya hii forum,,,, humu kuna GREAT THINKERS wachache mno kiasi kwamba inabidi uchukulie article wanazopost watu wengine kama unasoma folk stories. ni wengi ambao hawatumii bongo zao kutafakari bali wanatumia imani za mioyo yao(dini) kutafakari na kuamua.
Kila kitu humu ndani,wengi hukitafsiri kwa misingi ya chuki za kidini....
KAULI YANGU KWA WANA JF WOTE WENYE AKILI FUPI KAMA MAISHA YA FUNZA,, MNAOFIKIRI KWA MISINGI YA ITIKADI NA SI UZALENDO:-----
huwezi ukaifanya Tanzania kuwa taifa la kikiristo kamwe na wala huwezi kulifanya kuwa taifa la kiislamu kamwe kwani idadi yetu inalingana au kukaribiana sana. na isitoshe muingiliano wa kijamii baina yetu(kuchanganyika,kuoleana, kushereheka pomoja,kuhuzunika pamoja na hata kuzikana) ni mkubwa kiasi ambacho huwezi kututenganisha.
poleni wote mnaofikiri kwa kutumia makalio badala ya ubongo na poleni sana mnaofuga chuki mioyoni mwenu na kuwatenga watu kutokana na dini zao. nilisema na ninasema''''hata chuki za wazi dhidi ya Kikwete zimeegemea zaidi katika udini kuliko udhaifu wake kama kiongozi''''

hapo sasa mnapotumia matusi ndio watu wanachoka kwani na matusi nayenyewe ni sehemu ya ubaguzi . nawewe usitubague tusiotukana
 
Siasa za Tanzania sasa zinataka kutuweka pabaya minafikiri itakuwa busara
niwaombe tena wana JF tusisimamie udini au ukabila pamoja nalugha za kejeli. swala hapa ni ufisadi unao pelekea unyimwaji na unyang'anywaji wa haki ya mtu au watu, ambao utapelekea mtu au watu kusimamia masilai ya chama na siyo ya nchi.

hapa ndo pakusimamia. Nadhani si busara kusema Udini na Ukabila na lugha za kejeli humu ndani, kila mwana JF anatambua kuwa tunahitaji viongozi wazuri waadilifu watakao simamia masilai ya Tanzania nasiyo chama,

HILI NI OMBI LANGU KWENU WANA JF.
 
lakini mabishano ya hisia za watu ndio kitu kinachoweza kuleta suluu kwani ukiacha watu wawe na madukuduku wanaweza kuleta matatizo watu wajadili na viongozi warekebishe matatizo na kwa wale wageni na jf hapa ubaoni watu walishambulia wote si jk , au mkapa hata slaa nae akileta mambo yasiyo ya msingi tunashambulia, hakuna mtu mwenye kuweza kuziba watu midomo, watu wawe huru lakini uhuru usije ukaleta ubaguzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom