hahahahaa! this is nice one, yani kwao wao, moshi ndo problem, basi wafuta bhange hapo ndo panawafaa, kwa mana wanameza moshi wooote kabisa.
na ukitaka kucheka zaidi hebu tupia jicho TVZ au TV zuzu yaani taarifa ya habari inasomwa na makame usi, repoter faki makame faki, eneo la tukio mwembe mchomeke, wilaya ya magharibi mkoa wa kusini unguja
moshi ndiyo tatizo kwa kuwa unapouvuta hasa ule unaotoke puani kwa mvutaji, unakuwa na bakteria/virus ikiwa mvutaji ana infection yo yote kifuani. Ni bora kuvuta sigara direct kuliko kuvuta moshi unaotoka kwa mvutaji ambao umepita kwenye kifua ambacho kinaweza kuwa na infections au TB
Hapo penye red umeniacha hoi mkuu
Unakutana na reporter anaripot toka Mchambawima
Ahahahahaaaaaah mkuu hiyo avatar yako balaa!!!Unakutana na reporter anaripot toka Mchambawima