Recent content by Ligendelikabuje

  1. L

    JamiiForums Tanzania Shigongo Kaibuka kivingine, ashauri jinsi ya kujitawala kiuchumi kipindi cha Magufuli

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hivi: "Taarifa sahihi huwwasilishwa kwa lugha sahihi" Akiwa na maana hii, ili kufikisha ujumbe au taarifa iliyokusudiwa kwa hadhira iliyokususdiwa basi tumia lugha inayoweza kueleweka kwa hadhira yako yote bila kubagua.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Wasira amshukia Lissu kwa mambo manne

    Lamwai ni mmoja wa mawakili wa ccm, sijaona mahali ameisaidia serikali ya ccm kuepukana na aibu ya kushindwa kesi mara kwa mara na huyu Tundu Lissu. HUO UWEZO WA LAMWAI UNAOMZIDI TUNDU LISSU ANAUONYESHEA WAPI? Lamwai simuweki kwenye kundi la mawakili wazalendo kwani aliwahi jusimamia kesi ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    Uzalendo ni dhana pana, huwezi kuujenga uzalendo katika nchi ambayo viongozi wake wanatanguliza ititkadi zao mbele. Unaposimama jukwaani na kurejea rejea kusema hii ni serikali ya ccm usitegemee wasio wanachama na wapenzi wa ccm wanafurahia nkauli hizo. Hawa wanajihisi kama serikali haiwahusu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni unafiki mlishawahi kutangaza list of shame

    Kwenye ile orodha walikuwemo akina Chenge, JK na Mkapa. Hivi hawa wote wako chadema au ?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nyalandu aendelea kuivuruga halmashauri ya wilaya ya Singida kuhusu makao makuu ya wilaya

    Hebu iandike vizuri kwa kuzingatia kanuni za uandishi. Zingatia herufi kubwa na ndogo.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    Unapozungumzia suala la nchi unapaswa uzungumzie pia mfumo wa maisha ya binadamu. Binadamu anaweza kuishi bila kuwepo kwa dhahabu...dhahabu inapewa thamani baada ya uwepo wa binadamu. Thamani ya dhahabu itaonekana pale tu binadamu anapopewa hadhi, heshima na thamani yake. Kwa mtazamo wangu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mnahangaikia nini kunichafua? Nimeshasema jana nimemaliza

    Sina shida na hatua alizochukuliwa Nape na mkuu wake, suala la nguvu iliyotumika kuzuia mkutano wake imenipa roho ya kumhurumia sana. Ni upuuzi wa kumuonyesha bastola mtu ambaye si muhalifu. Viongozi wetu wajitathimini kwa haya matumizi mabaya ya vyombo vya usalama.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    Maisha ya mtu mmoja ni ya thamani kuliko makontena zaidi ya 200 ya dhahabu. Mh. Rais anapaswa kujua hilo. Lakini pia mnatakiwa kuelewa kwamba kiongozi ndiye dira ya jamii anayoiongoza, ukiona wafuasi wako wameanza kutokukufuatlia ni wajibu wako kujitathmini kwanza.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Call me Je!

    Really you deserve the name Call me Je.
  10. L

    JamiiForums Tanzania I can't let my country go to the dogs, Nyerere - 1995

    Mbona povu inakutoka ndugu yangu...!!? Soma kwa utulivu ione nia ya andiko langu...sikuwa na sina lengo la kupingana katika hili... Lengo langu lilikuwa ni kujaribu kuweka kumbukumbu sawa... Kwenye suala la mawasiliano, muktadha unaweza kusababisha kilichokusudiwa na mzungumzaji kisieleweke...
  11. L

    JamiiForums Tanzania I can't let my country go to the dogs, Nyerere - 1995

    Baada ya Mwl kuitoa hiyo statement, mwandishi wa moja ya vyombo vya habari akaandika "Siwezi kukubali nchi yangu ikabidhiwe kwa mbwa...!!". Wataalamu lugha ya kiingereza walimponda sana mwandishi kuwa hajui kiingereza kwani alifanya tafsiri sisisi wakati hiyo ni figurative language... Dogs kwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Kunduchi-Salasala laungua kwa radi

    Ukiondoa RC, kuna madhehebu katika nchi ambayo yana umri mkubwa kuliko hayo uliyoyataja kwenye uzi wako...Labda ungefafanua kisayansi ni kwa nini KKKT na Anglican na siyo madhehebu kama SDA, METHODIST, MORAVIAN na mengineyo ambayo yamekuwepo ulimwenguni kabla ya Anglican (L/H) church na Lutheran...
  13. L

    JamiiForums Tanzania For sale: Carina car

    4.5 ndiyo bei yake au...!? Fafanua vizuri wadau wakuelewe...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imewatimua wanachama wake 42 kwa kukihujumu chama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa

    Denda na Mapenzi ndiyo yalikuzaa wewe na leo hii una uwezo wa kuingia humu na kujenga hoja... Acha kutukana "kitanda" kilichokuumba. Kwa kuiita CDM chama cha denda na mapenzi unakubali kwamba ili kiumbe kipya kizaliwe lazima denda na mapenzi vihusike. Tunahitaji taifa jipya lizaliwe...CDM...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege Tanzania nimeamini lipo stable

    "Kinyume cha Mambo.....!!!"
Back
Top Bottom