Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Sometimes "It is better to be poor but free, rather than being rich but a slave" There are people in this country who are working under this leadership, they want top positions, they want top rank, and the TOP the Position, The higher the Pay........and this goes to being rich, but instead they are slaves, they are not free, they can't work independently!!!!!
They are slaves because they want to be rich. Call me je!!! it is my name, I will tell you the truth today. Those who are not in top positions, they feel relaxed, happy and free. To get the higher position currently is like carrying the King's Mug. If you break it you may end up being hanged(hahahahahaha) Call me Je!!!.
In Kiswahili sasa....Bora unipe dagaa mmoja.....nimle kwa uhuru, yaani leo nile kichwa, kesho tumbo, kesho kutwa mkia......tena kwa amani.......kuliko kunipa nyama wakati naitafuna wewe Unanisonkola(kisukuma) kwa kunisukuma na kidole usoni huku ukisema" lione linavyoitafuna nyama...hebu tafuna vizuri" khaaaaaaa kisaaaa, umenipa nyama. Au bora nilalie mkeka au jamvi nilale saa mbili usiku niamke saa moja asubuhi.......kuliko kunipa godoro na kunipangia nililalie saa sita usiku kisha niamke saa kumi alfajiri.......hilo godoro sitaki. Call me je! I am talking.
With bitterness in thier minds, they will end up taking dawa za pressure kama mimi kila siku, zile Amrodipine na Losartan ( kila mtu ana dose yake bhana) Wanaugulia ndani kwa ndani....wanajikuta pressure iko juu. Yaani uongozi unakuwa kama Mtihani ambao huwezi kufanya bila kuangalizia. Na lazima uangalizie maana ukifeli inakuwa Shida. Call me je! I am talking.
Wengine sababu ya majukumu, ndo kwanza watoto wao bado wadogo......ila mnaugulia ndani mnawaza mtawalea vipi......mnakubali kuendelea kuwa salves, ila kuna baadhi yenu mlipofikia mkirudi tukalima vitunguu kwa kilimo cha umwagiliaji mtakuwa na furaha!!!(ahahahaaaaaa, hahaaaaa, na watoto wenu watarithi hayo mashamba lakini sio vyeo aisee. Call me Je!!!
Namalizia....IT IS BETTER TO BE POOR BUT FREE, RATHER THAN BEING RICH BUT A SLAVE.
CALL ME JE!!!