Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Nape ametweet kuwa kuna watu wanamchafua kwenye mtandao na wakiendelea atawataja. Naona vijana wa Lumumba wameanza mambo yao.
Wanajuana hao..Sisi ngoja tukae pembeni kuangalia movie inavyoendahaving a taste of his own medicine. Kumbe chungu........
Since when??Hii yote ni BAVICHA....CCM HATUWEZI MCHAFUA nape WE DO RESPECT HIM.......
Movie juu ya movie..Hii movie starling anaweza akafa hv hv.HII MOVIE YA KIHINDI, KILA SIKU KUNA EPISODE MPYA NA ITAENDELEA HADI MWAKA 2020.
KAENI MKAO WA KULA KUIANGALIA KWANI KILA SIKU INAKUWA TAMU ZAIDI YA EPISODE YA JANA.
SIRI ZOTE MTAZIWEKA HADHARANI.
Yes!!! CCM mbele kwa mbele. Wanaisoma namba wenyewe!!!!Wanajuana hao..Sisi ngoja tukae pembeni kuangalia movie inavyoenda