Shirika la ndege Tanzania nimeamini lipo stable

Shirika la ndege Tanzania nimeamini lipo stable

bnf

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
218
Reaction score
79
Ukilinganisha na mashirika mengine kama Kenya airways, ethiopia airways na mengine mengi yaliyolalamika kuingia hasara kwa sababu ya mlipuko wa ebola. shirika letu halijawai lalamiks

Pia sijawai sikia ndege zake zimepotea kama mashirika mengine

Nichukue nafasi hii kumpongeza mkuu wa shirika letu ili la ndege

Nahakika stability yetu itatupeleka mbali
 
hahahahaha hivi shirika letu lina ndege ngapi vile?
 
Unalipongeza shirika lenye ndege moja na ambalo halifanyi safari za International....shame!!!
 
Are you serious or you mean sacarsm??

Ndege gani unaoongelea?? Vitoronto, mwewe, njiwa au kunguru??

Kama unazungumzia usafiri wa anga, husikii kwa sababu hazipo
 
shirika letu lilikuwa na ndege moja ambayo pia ilipata hitilafu ya kioo cha mbele till now sidhan kama inafanya kazi tena
 
Ha ha ha mtoa thread usinifurahishe aseee sasa route za humu humu nchini litalalamikia wapi??
 
We jamaa acha utani bhana!,ndege ya Atcl ile Dhc 8 ipo matengenezo makubwa(check c) hapahapa katika karakana Dsm,tangu kipindi hicho wanatumia ndege ya kukodi kutoka Kenya ambayo malipo yake ni makubwa mno,hebu fikiria tangu alhamis(x mass) mpaka Leo hawajuruka...sasa hapo Una shirika kweli...
 
Jna nimesikia RwandaAir likitangaza safari zake uwanja wa mwanza ....sisi tupo tupo tu
Kweli lipo imara kuna wakati lilikuwa na ndege moja na wafanyakazi 300 hatukusikia limepata hasara
 
Kweli lipo imara kuna wakati lilikuwa na ndege moja na wafanyakazi 300 hatukusikia limepata hasara

Hivi kama hao wachina na wazungu tunawaomba misaada kwanin awatupi misaad ya maana kama ndege ,vichwa vya treni,mashine za kusagia lakini mtu anatoa makende yake all the way from america up to here to give us mosquito nets.na sisi tunafunga barabara apite na neti zake ambazo mwisho wa siku raia wamezibeza wanavulia samaki.Inaniuma sana kizaz cha kiafrica one day tutaamka.Tupeni matrekta,makatapila,ambulance na pikipik za polisi tutananua wenyewe
 
Hapo kwenye bluu nimecheka sana mkuu.Tanzania ni zaidi ya unavyoijua.Tunawafanyakazi lukuki wa shirika la ndege,huku hatuna ndege hata moja angani.President pekee ndo anaifaidi anga.Karibu anahitimu urubani
 
Taarifa -Hakuna ndege za Atc mpaka tarehe 2 marubani wapo kenya kwa mapumziko hivo wale wa comoro kigoma mtwara zii labda kama mnahitaji single night palee rungwe hoteli kariakoo Karibu
 
huyu mtoa mada atakuwa kada wa chama tawala maana anasifia kitu kinachoelekea kufa kabisa
 
Unalipongeza shirika lenye ndege moja na ambalo halifanyi safari za International....shame!!!

Are you serious or you mean sacarsm??

Ndege gani unaoongelea?? Vitoronto, mwewe, njiwa au kunguru??

Kama unazungumzia usafiri wa anga, husikii kwa sababu hazipo

Ha ha ha mtoa thread usinifurahishe aseee sasa route za humu humu nchini litalalamikia wapi??

huyu mtoa mada atakuwa kada wa chama tawala maana anasifia kitu kinachoelekea kufa kabisa

"Kinyume cha Mambo.....!!!"
 
Back
Top Bottom