Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

Kituo chao wenyewe wamewekeza kwa hela zao wenyewe!! wewe ni nani mpaka uwapangie? Wao ndiyo wanajua habari gani iwe ya kwanza na ipi iwe ya pili, umeumia sana fungua kituo chako muonyeshe sizon
je asubuhi hadi jioni!!!
Kawaulize wakwambie, kawaulize yaliyowakuta google China. Kasome alichowahasa JK siku anazindua studio yao aliwahasa nini, na kwanini hawakusema asiwapangie kwasababu ile siyo pesa yake.
Na kawaulize ni kwanini walimwalika yeye na si wewe.

Unaweza ukaongea hapa kama vile una hata cheo cha kufagia kule achia mbali kuwa CEO wao kumbe wao wanayaelewa sana haya niliyowahasa kuliko wewe unayenijibu .
 
Unahararisha matumizi rasmi ya "Uhuru" TBC ndo viwe vyombo vya habari za Tz ila hivi vingine viandike andike tu?
Unahararisha umuhimu wa kuviondoa vingine na badala yake kazi ya kuhabarisha umma juu ya masuala ya nchi yao ianze kufanywe na Uhuru na TBC na wengine amtaia wafungiwe ama wakachukue kutoka Uhuru na TBC?
Unamaanisha ile sheria ya kuvibana vingine ilikuwa sawa kwasababu hawako kitaifa zaidi?
Kwani mkuu kwanini unadhani habari ya Nape haikuwa na umuhimu zaidi ya Magufuli kutembelea bandarini?
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzuto na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichokatokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
kwani nini, kwa hiyo tukio la jana mtu mpaka anatishiwa maisha unaona ndio liwe la dk 1, zitakuwa zimefyatuka wewe aisee
 
mwaka huu mmeshikwa koo ata maji hamnywi mpka ifike december mtakuwa mmshakusanya virago.
Ungekuwa wewe hushikwi pia msingekuwa mnalia ugumu wa maisha, navyoona wewe na wenzio mnalalamikia maisha kuwa magumu inatosha kuelewa hata nyie kumbe tayari mko kwenye ring, sote tunaguswa ijapo kwa utofauti.
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzuto na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichokatokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
kwa taarifa yako sio azam tu, hata itv wameonyesha sana habari ya Nape, maana yake ni kwamba wamechoka na drama za Pombe
 
39a57e5cf35b78e546a6632ffaa415a2.jpg
 
Hizo habali za makontena ni mchezo wa ccm na tulisha uzoea ndiomaana hata tv zimeuchoka kuonesha maigizo ya ccm.. Mulianza na kikombe chababu kisha mketa habali yamadawa. Ilikufunika kufelishwa kwa mkoa wa dsm.. yani unashawishi tv zioneshe upuuzi wa kubumba ili tusiangalie habali zakweli zinazo husu uonevu unaoendeshwa na mbogamboga..
 
Mimi ningetarajia kuona raisi anawafukuza kazi marc na marpc kote mzigo wa kontena la dhahabu ulimopita, makamishna wa madini wa kanda ile wote weka pembeni, waziri wa madini kama yupo piga chini

Sasa kaenda alivoona kamera za uhuru tbc na habari leo tu ndo zimemfuata nyingine zpo protea na hajatolewa front page ndo kapanic kabisa
 
kwani nini, kwa hiyo tukio la jana mtu mpaka anatishiwa maisha unaona ndio liwe la dk 1, zitakuwa zimefyatuka wewe aisee
Maisha wametishiwa wangapi na bado tuko kitaa sembuse hao ...yeye nani kwani? Dunia hii waliishi wahuni na wajanja hajabu hatari na siku ilivyofika si tu walitishiwa, waliondolewa na leo historia inawakumbuka. Kikubwa ni kwamba nchi zao ziliendelea kuwepo, mtu mmoja asikupe hofu mkuu.
 
Mimi ningetarajia kuona raisi anawafukuza kazi marc na marpc kote mzigo wa kontena la dhahabu ulimopita, makamishna wa madini wa kanda ile wote weka pembeni, waziri wa madini kama yupo piga chini

Sasa kaenda alivoona kamera za uhuru tbc na habari leo tu ndo zimemfuata nyingine zpo protea na hajatolewa front page ndo kapanic kabisa
Wangeachaje kwenda protea na wako kwenye orodha? Kawaulize ile orodha vipi?
 
Serikali ya maaigizo mtaiamini vipi? hata yaliotokea kwa clouds wao sio watanzania, wafanyakazi wa clouds sio watanzania, mkulu na rc dar ndio watanzania tu. Nchi wamerithi toka kwa baba zao. Hatuna imani tena na rais ambaye anasupport jambazi..ya bandari pia maigizo tu. Uchumi unadorora na hapa kazi tu, there is really zero smart thinkers in the current govt leader. Otherwise matunda yake tungeyaona kwenye uchumi wa nchi.

'Personality' is the basis of who a person is.. can they be trusted? how do they work? who are they? what do they stand for? bila personality kaka hamna tofauti ya binadamu na jiwe hivi. Don't be so dense, act like you have a grown ass brain that has something of substance to say. Some human beings! God gave us free will, and He is GOD! He creates another one of us every second even when looking at the world we don't deserve it.

Some of us are the devil incarnate but He still gives a chance to change evryday we breathe. So magufuli ndo nani, hakubali kukosolewa, anawaambia wenye njaa wakafie uko, anachukua donation money kwa kigezo cha walioadhirika na anatamka hatowasaidia, anamtetea muhalifu na wale pale clouds pia watanzania kama huyo kiumbe wake. Begs the question, rais wa wanyonge kweli..macontainer haya kila siku, mbona uchumi unadorora tu?
 
Maisha ya mtu mmoja ni ya thamani kuliko makontena zaidi ya 200 ya dhahabu. Mh. Rais anapaswa kujua hilo. Lakini pia mnatakiwa kuelewa kwamba kiongozi ndiye dira ya jamii anayoiongoza, ukiona wafuasi wako wameanza kutokukufuatlia ni wajibu wako kujitathmini kwanza.
 
Back
Top Bottom