T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Mbunge wa singida kaskazini lazaro nyalandu kwa kuwatumia vibaraka wake ambao ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya singida Elia Digha na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida vijijini Narumba Hanje wameendelea kuiyumbisha halmashauri kwa kukaidi maagizo ya serikali na uongozi wa mkoa ambao walishaelekeza halmashauri ya wilaya ihamie Katika mji mdogo wa Ilongero.
Sasa hivi mwenyekiti wa halmashauri anaiyumbisha maamuzi hayo na sasa anatumia madaraka yake kutaka makao makuu mapya yakajengwe sagarumba. Vikao vyote vya baraza la madiwani vinafanyikia singida mjini badala ya Ilongero kama ilivyoagizwa.
Tunaomba serikali itusaidie katika hili kuondoa huu uovu.