Kanisa la Kunduchi-Salasala laungua kwa radi

Status
Not open for further replies.
Katika Ukristu kama ukishindwa kuwa Mkatoliki basi kuwa KKKT na ukishindwa kabisa Anglican Church. Huu mwingine wote ni uchuro wa wachumia tumbo toka kwa watu frustrated.
 
Imani ziko mbili tu Roman Catholic na Islam. Ila Biblia inasema watatokea manabii wa uwongo na kuhubiri kwa jina la Mungu. Haya makanisa yanayochipuka kila siku yanamchukiza Mungu. Angalia huyo wa Salasala amejenga kanisa kwa structure ya baa tayari kuanza kuwadhulumu wakristu ambao wanafikiri kuna uponyaji. Hayo ndiyo matokeo yake Mungu wetu aliye hai si wa kumfanyia mzaha.

Stuxnet;
Tuseme ni kutokuelewa au ndo akili yako ilipo kufikisha uelewa wako?? Weye mwenyewe unasema imani zipo 2 Roma na slam, sasa kati ya hizo 2 manabii wa uongo ni wepi hapo?? Hao warumi au hao waislam?? Tulia ufikiri kabla ya jibu.
Makanisa yanayo chipuka hutoka wapi au ni humo humo ndani ya hayo madhehebu yako mawili?? Ama kweli, upofu si lazima uwe wa macho, hata akili hupofuka. Kwa hiyo jengo hilo lililo ungua ndo la kwanza kabisa duniani kuungua?? Mbona mtu kuujua uwezo wake wa kufikiri ni rahisi tu. Muulize ngamia ni nini??
 
Fikiri kabla ya kunena,Mungu hawezi kuwa kama unavyomdhania!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Katika Ukristu kama ukishindwa kuwa Mkatoliki basi kuwa KKKT na ukishindwa kabisa Anglican Church. Huu mwingine wote ni uchuro wa wachumia tumbo toka kwa watu frustrated.

Ukiondoa RC, kuna madhehebu katika nchi ambayo yana umri mkubwa kuliko hayo uliyoyataja kwenye uzi wako...Labda ungefafanua kisayansi ni kwa nini KKKT na Anglican na siyo madhehebu kama SDA, METHODIST, MORAVIAN na mengineyo ambayo yamekuwepo ulimwenguni kabla ya Anglican (L/H) church na Lutheran...
 
Sitoshangaa nikisikia na hili litasemwa ni Radi ya ccm !
Coz now days hata Natural disaster/threats kama mafuriko , earthquake, windstorm , with other geological processes which can coz loss of life au property , itasemwa ni ccm!

Tatizo la CCM iko katika kila aina ya uhalifu kuanzia utekaji nyara, ujambazi, umafia wa kuwatesa, kuwatisha na hata kuwaua wenye mawazo tofauti nanyi, usambazaji na uuzaji wa madawa ya kulevya, kuuza twiga nje, kumaliza tembo, mikataba feki, uporaji wa viwanja hadi nyumba zilizojengwa hata babu wa babu zenu hawajazaliwa na kila aina ya takataka. Kuna lililobaki hapo? Sintashangaa kamwe nikimwona mtu anatilia shaka uhusika wa chama cha kifisadi hicho katika hili pia! Upo?
 
Imani ziko mbili tu Roman Catholic na Islam. Ila Biblia inasema watatokea manabii wa uwongo na kuhubiri kwa jina la Mungu. Haya makanisa yanayochipuka kila siku yanamchukiza Mungu. Angalia huyo wa Salasala amejenga kanisa kwa structure ya baa tayari kuanza kuwadhulumu wakristu ambao wanafikiri kuna uponyaji. Hayo ndiyo matokeo yake Mungu wetu aliye hai si wa kumfanyia mzaha.

Je ni kweli hilo ni kanisa? Au unacomment ktk rumors....hakuna imani ya roman catholic....bali kuna imani ya kikristo....toman ni dhehebu km ilivyo shia.hamadiya.sunni ktk uislam
 
Nimetafakari ndiyo nikapost. Hayo makànisa uchwara yenu na wachungaji bandià ni miradi ya watu binafsi. Munawadanganya tu watu wasio na msimamo na nyie ndiyo wadhambi wakubwa.

Misingi ya ukristo ipo ktk biblia bali udhehebu huja kutokana na tafsiri ya maandiko ndio maana kuna kkkt na nglikan ambao kabla ya hapo walikuwa RC
 
Katika Ukristu kama ukishindwa kuwa Mkatoliki basi kuwa KKKT na ukishindwa kabisa Anglican Church. Huu mwingine wote ni uchuro wa wachumia tumbo toka kwa watu frustrated.
Ni kweli kabisa na ndio wanasababisha vita vya kidini kwa kuwaita waislamu mapepo. Sijui kwa mini serikali inaendelea kusajili madhehebu mapya!
 
Tatizo la CCM iko katika kila aina ya uhalifu kuanzia utekaji nyara, ujambazi, umafia wa kuwatesa, kuwatisha na hata kuwaua wenye mawazo tofauti nanyi, usambazaji na uuzaji wa madawa ya kulevya, kuuza twiga nje, kumaliza tembo, mikataba feki, uporaji wa viwanja hadi nyumba zilizojengwa hata babu wa babu zenu hawajazaliwa na kila aina ya takataka. Kuna lililobaki hapo? Sintashangaa kamwe nikimwona mtu anatilia shaka uhusika wa chama cha kifisadi hicho katika hili pia! Upo?
Pia wako tayari kuua na kuiba kura ili esendelee kutawala na kuifisidi nchi!
 
Imani ziko mbili tu Roman Catholic na Islam. Ila Biblia inasema watatokea manabii wa uwongo na kuhubiri kwa jina la Mungu. Haya makanisa yanayochipuka kila siku yanamchukiza Mungu. Angalia huyo wa Salasala amejenga kanisa kwa structure ya baa tayari kuanza kuwadhulumu wakristu ambao wanafikiri kuna uponyaji. Hayo ndiyo matokeo yake Mungu wetu aliye hai si wa kumfanyia mzaha.

Uislamu umetajwa wapi kuwa ni Imani? Tumia kichwa chako kufugia nywele tu, inatosha!!!!
 
Imani ziko mbili tu Roman Catholic na Islam. Ila Biblia inasema watatokea manabii wa uwongo na kuhubiri kwa jina la Mungu. Haya makanisa yanayochipuka kila siku yanamchukiza Mungu. Angalia huyo wa Salasala amejenga kanisa kwa structure ya baa tayari kuanza kuwadhulumu wakristu ambao wanafikiri kuna uponyaji. Hayo ndiyo matokeo yake Mungu wetu aliye hai si wa kumfanyia mzaha.

imani ziko mbili?? kwani isiwe moja mambo ya imani ni ya kufikirika tu hayana uhalisia
 
Stuxnet;
Tuseme ni kutokuelewa au ndo akili yako ilipo kufikisha uelewa wako?? Weye mwenyewe unasema imani zipo 2 Roma na slam, sasa kati ya hizo 2 manabii wa uongo ni wepi hapo?? Hao warumi au hao waislam?? Tulia ufikiri kabla ya jibu.
Makanisa yanayo chipuka hutoka wapi au ni humo humo ndani ya hayo madhehebu yako mawili?? Ama kweli, upofu si lazima uwe wa macho, hata akili hupofuka. Kwa hiyo jengo hilo lililo ungua ndo la kwanza kabisa duniani kuungua?? Mbona mtu kuujua uwezo wake wa kufikiri ni rahisi tu. Muulize ngamia ni nini??
harafu anasema imani ziko mbili hajui kuwa kuna sehemu hawaamini Christian wala Muslim aseme yeye mwafrika kafikishiwa imani mbili ambazo nazo ni njama za middle east hazina mantiki sana kwa sasa zitapita miaka co mingi
 
Ni kweli kabisa na ndio wanasababisha vita vya kidini kwa kuwaita waislamu mapepo. Sijui kwa mini serikali inaendelea kusajili madhehebu mapya!

Je, ni sahihi uislam kuwaita hao wenzao makafiri?
je, ni sahihi serikali kuruhus dini inayo hubiri chuki na kujichukulia sheria mikononi?

au ndo mkuki kwa nguruwe?
 
Sitoshangaa nikisikia na hili litasemwa ni Radi ya ccm !
Coz now days hata Natural disaster/threats kama mafuriko , earthquake, windstorm , with other geological processes which can coz loss of life au property , itasemwa ni ccm!

Acha kujishuku, wewe ndo mwenye ccm?
 
Katika Ukristu kama ukishindwa kuwa Mkatoliki basi kuwa KKKT na ukishindwa kabisa Anglican Church. Huu mwingine wote ni uchuro wa wachumia tumbo toka kwa watu frustrated.

Je, kutokea kwa ajali maana yake kuwa Mungu ndo analiadhib hilo kanisa kwa kuwa ni la uongo au wanatenda dhambi?
Kwanini asinge piga radi kwenye club mbalili na kumbi za starehe, au mahala ambapo wanafanya usufska?

je, hata Ayubu alivyo patwa na yale matattizo yake alikuwa anapewa adhabu na Mungu?
unaeza vip kuvaa viatu vya Mungu na kutoa kuconclusion katika jambo lililo tokea?
Tena usikute mchungaji au waumin wa kanisa hilo ni watu wa Mungu na Mungu ameruhusu majaribu?
Soma biblia mkuu, uone walio yapitiaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom