I can't let my country go to the dogs, Nyerere - 1995

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,298
12,600
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani?

Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii?

UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa Wa Nyerere ni akina nani? Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani? nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati Wa chaguzi Leo hâta uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii? UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake.
You Need to be intelligent beyond simple thinking to understand the statement. It is simply not only party politics my friend, it is beyond that. I believe some of the people aspiring to the presidency of Tanzania from all parties may be 'dogs' in the eyes of Nyerere statement.
 
That statement didn't mean to UKAWA only as you perceive...think of CCM politicians to which mwalim recognised as failures due to their individual interests than national loyalty and patriotism
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa Wa Nyerere ni akina nani? Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani? nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati Wa chaguzi Leo hâta uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii? UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake.

Baada ya Mwl kuitoa hiyo statement, mwandishi wa moja ya vyombo vya habari akaandika "Siwezi kukubali nchi yangu ikabidhiwe kwa mbwa...!!". Wataalamu lugha ya kiingereza walimponda sana mwandishi kuwa hajui kiingereza kwani alifanya tafsiri sisisi wakati hiyo ni figurative language...

Dogs kwa Mwl anamaanisha mafisadi, watoa na wala rushwa, wanafiki, wazandiki, wezi wa mali ya umma, wahujumu uchumi, waongo na wote wenye tabia zinazofanana na hizo...
 
Mtoa mada naomba kufahamu,kauli hii ilitolewa wakati gani? yaani wakati wa mchujo
ndani ya CCM wa kutafuta atakaepeperusha bendera,au baada ya hapo wakati mgombea ameshapatikana?
 
You Need to be intelligent beyond simple thinking to understand the statement. It is simply not only party politics my friend, it is beyond that. I believe some of the people aspiring to the presidency of Tanzania from all parties may be 'dogs' in the eyes of Nyerere statement.

Oh! that is how you interpret that statement of Mwl. Nyerere, but Nyerere was straight forward on that, hakumung'unya maneno, he further added " Kiongozi mzuri hawezi kupatikana nje ya CCM" what more do you want from Nyerere about UKAWA? If you still believe that Nyerere is the father of the Nation, that is what the father has said about opposition parties. Msivunje kioo ondoeni tongotongo zenu. Namna ya kuepukana na laana hii ya Nyerere ni kumtongoza kiongozi "safi" kutoka CCM (Mwigullu, Wasira, Sitta, Tibaijuka, Lusinde, Lowassa, au...) aje agombee urais kwa tiketi ya UKAWA, maana baba wa Taifa kasema Kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM. Hata sasa hivi nikiangalia huko UKAWA simuoni bado mtu mwenye sifa ya kugombea na kushinda urais, hivyo maneno ya Nyerere bado yana hold water ingawa ni Ngumu Kumeza I am very sorry for the truth telling.
 
Watu wengine bwana....

They can only see dogs with eyes closed...lol!!
 
Baada ya Mwl kuitoa hiyo statement, mwandishi wa moja ya vyombo vya habari akaandika "Siwezi kukubali nchi yangu ikabidhiwe kwa mbwa...!!". Wataalamu lugha ya kiingereza walimponda sana mwandishi kuwa hajui kiingereza kwani alifanya tafsiri sisisi wakati hiyo ni figurative language...

Dogs kwa Mwl anamaanisha mafisadi, watoa na wala rushwa, wanafiki, wazandiki, wezi wa mali ya umma, wahujumu uchumi, waongo na wote wenye tabia zinazofanana na hizo...

Mkapa alikuwa anagombea na Lyatonga Mrema kama mpinzani wake mkuu kutoka NCCR. Je, wakati Nyerere anatoa kauli ile Mrema alikuwa na sifa ya kuitwa mbwa? (mafisadi, watoa na wala rushwa, wanafiki, wazandiki, wezi wa mali ya umma, wahujumu uchumi, waongo na wote wenye tabia zinazofanana na hizo?). Mrema wakati ule alikuwa mkombozi na kipenzi cha watanzania katikati ya serikali ya Mwinyi iliyokidhiri kwa rushwa kiasi cha kumkasirisha hata Nyerere. Linganisha kauri ile ya Nyerere ya mbwa na ile ya Kiongozi safi hawezi kupatikana nje ya CCM utapata kitu kamili. Kuwa tayari kusikia upande wako wa pili ili upange hoja zako. Kama UKAWA wanaamini kuwa Nyerere ni baba yao wa Taifa basi wajue pia kuwa Baba wa taifa alitamka hivyo kuhusu vyama vya upinzani.
 
Mtoa mada naomba kufahamu,kauli hii ilitolewa wakati gani? yaani wakati wa mchujo
ndani ya CCM wa kutafuta atakaepeperusha bendera,au baada ya hapo wakati mgombea ameshapatikana?

Kauli hii iliitoa pale Jangwani kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi Mkapa dhidi ya Mrema. Na Nyerere alijitokeza kumpigia kampeni Mkapa baada ya kuona NCCR ilikuwa inafanya vizuri sana kwenye kampeni zake chini ya akina Lamwai, Marando, Nyambabe, Mbatia, na wengine. Hivyo maneno haya ya Nyerere siyo ya kipindi cha mchujo ndani ya CCM
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani? Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii? UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
The dogs are already here!
Sitting tight and holding the reigns.
 
the country has already gone to the dogs,they are already ranning and ruinning it right now
 
Mkapa alikuwa anagombea na Lyatonga Mrema kama mpinzani wake mkuu kutoka NCCR. Je, wakati Nyerere anatoa kauli ile Mrema alikuwa na sifa ya kuitwa mbwa? (mafisadi, watoa na wala rushwa, wanafiki, wazandiki, wezi wa mali ya umma, wahujumu uchumi, waongo na wote wenye tabia zinazofanana na hizo?). Mrema wakati ule alikuwa mkombozi na kipenzi cha watanzania katikati ya serikali ya Mwinyi iliyokidhiri kwa rushwa kiasi cha kumkasirisha hata Nyerere. Linganisha kauri ile ya Nyerere ya mbwa na ile ya Kiongozi safi hawezi kupatikana nje ya CCM utapata kitu kamili. Kuwa tayari kusikia upande wako wa pili ili upange hoja zako. Kama UKAWA wanaamini kuwa Nyerere ni baba yao wa Taifa basi wajue pia kuwa Baba wa taifa alitamka hivyo kuhusu vyama vya upinzani.

Mbona povu inakutoka ndugu yangu...!!? Soma kwa utulivu ione nia ya andiko langu...sikuwa na sina lengo la kupingana katika hili...

Lengo langu lilikuwa ni kujaribu kuweka kumbukumbu sawa...

Kwenye suala la mawasiliano, muktadha unaweza kusababisha kilichokusudiwa na mzungumzaji kisieleweke kama alivyokusudia...

Basil P. Mramba aliwahi tuambia watz "Hata ikibidi kula nyasi" ndege ya rais lazima inunuliwe...Kauli safi kabisa, lakini "muktadha" ukamfanya alaaniwe na kila aliyesikia kauli hiyo...

Kwa mazingira ya kauli ya mwl, uko sahihi kwa unachoamini wewe, lakini jaribu kurudi nyuma kidogo kihistoria bila kuwa na mhemko wa kiitikadi upate kuelewa ujumbe uliotolewa na mwl...

Nikukumbushe kidogo: Wakati huo mwl pia alikuwa na ugomvi na Jakaya, Edward na Samweli, hakutaka mmoja wa hawa aongoze nchi hii hali iliyoleta mpasuko ndani ya ccm na nchi kwa ujumla (ikumbukwe kuwa Benjamini hakufahamika sana miongoni mwa watz)...Hivyo kauli ya mwalimu ilikuwa na maana pana sana, mbwa ni pamoja na "wanamtandao" wa wakati ule.

Kwa hayo maelezo mafupi nikiunganisha na mawazo yako, mwl alikuwa anawaunganisha watz waliopasuka vipande kuwatoa kwa wenyemtandao na kuwaweka pamoja ili wampigie kura chaguo lake Ben...

Kwani mpaka sasa hatuoni unabii wa mwl kutimia...!!?? Tumewapa nchi wale aliowaita mbwa wakati ule, leo tunalia: richmond, epa, meremeta, twiga kupelekwa Arabuni, biashara ya meno ya tembo, biashara ya dawa za kulevya (ma-dealer wanajulikana na rais) iptl, pap, escrow nk...

Nakushauri rudi kwenye historia ya nchi hii na mfumo wa vyama vingi...wengine humu ndani hatufungamani na mifumo ya kiitikadi bali hoja zenye maslahi kwa taifa...MBWA WANATAFUNA NCHI YETU HATA SASA...
 
'I Can not let my country go to the dogs' Hii ni kauli ambayo haijawahi kutenguliwa, fafanuliwa wala kuhojiwa iliyowahi kutolewa na Mwl. Nyerere dhidi ya akina 'UKAWA' alipokuwa akimfanyia kampeni ya urais Mh. Benjamin William Mkapa mwaka 1995.

kauli hii ya Nyerere ilimaanisha nini? UKAWA mnaikumbuka kauli hii bado? Mbwa wa Nyerere ni akina nani? Wako wapi? Lini? Kwa namna gani? na kwa sababu gani?. Nchi yake ipi isiende kwa mbwa hao kwanini? Je, yanayotokea wakati wa chaguzi leo yana uhusiano na kauli hii ya Nyerere? Nani ajitokeze kuitengua kauli hii? UKAWA angalieni chanzo cha tatizo kwanza kabla ya matokeo yake. Nyerere mnayemheshimu alishawaita mbwa, na iliyosemwa imesemwa na aliyoandikwa imeandikwa pia.
Hizi lugha zilizokuja kwa meli si busara kuzitafsiri neno kwa neno... huo ni msemo wa Kiingereza wenye maana kwamba "siwezi kuiacha nchi yangu ikiangamia..." na sio siwezi kuiacha nchi yangu ikienda/ikichukuliwa na mbwa kama wengi wanavyotafsiri!!!
 
Oh! that is how you interpret that statement of Mwl. Nyerere, but Nyerere was straight forward on that, hakumung'una maneno, he further added " Kiongozi mzuri hawezi kupatikana nje ya CCM" what more do you want from Nyerere about UKAWA? If you still believe that Nyerere is the father of the Nation, that is what the father has said about opposition parties. Msivunje kioo andoeni tongotongo zenu. Namna ya kuepukana na laana hii ya Nyerere ni kumtongoza kiongozi "safi" kutoka CCM (Mwigullu, Wasira, Sitta, Tibaijuka, Lusinde, Lowassa, au...) aje agombee urais kwa tiketi ya UKAWA, maana baba wa Taifa kasema Kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM. Hata sasa hivi huko UKAWA simuoni mtu mwenye sifa ya kugombea na kushinda urais, hivyo maneno ya Nyerere bado yana hold water ingawa ni Ngumu Kumeza I am very sorry for the truth telling.
Hongera. If you do not already see the 'dogs' inside even the party you believe is clean, it is unfortunate. Nyerere went beyond party politics my friend, he even said CCM siyo mama yangu...
 
Oh! that is how you interpret that statement of Mwl. Nyerere, but Nyerere was straight forward on that, hakumung'una maneno, he further added " Kiongozi mzuri hawezi kupatikana nje ya CCM" what more do you want from Nyerere about UKAWA? If you still believe that Nyerere is the father of the Nation, that is what the father has said about opposition parties. Msivunje kioo andoeni tongotongo zenu. Namna ya kuepukana na laana hii ya Nyerere ni kumtongoza kiongozi "safi" kutoka CCM (Mwigullu, Wasira, Sitta, Tibaijuka, Lusinde, Lowassa, au...) aje agombee urais kwa tiketi ya UKAWA, maana baba wa Taifa kasema Kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM. Hata sasa hivi huko UKAWA simuoni mtu mwenye sifa ya kugombea na kushinda urais, hivyo maneno ya Nyerere bado yana hold water ingawa ni Ngumu Kumeza I am very sorry for the truth telling.

Hivi kwa akili yako wewe unadhani alikuwa anamaanisha hivyo...kiongozi mzuri lazima atoke ndani ya ccm..its ok..maana hawa wa ukawa waliopo sidhani kama kuna hata moja ambaye hakupitia tanu youth leage TYL au UVCCM..zamani zile.So whats bad about that...cha msingi hapo nyerere alikuwa anasisitiza kiongozi ni lazima awe mwadilifu kwelikweli..je angekuwepo hivi sasa angekubali jinsi nchi hii inavyoongozwa..this country is in the hands of dogs my dear friend!
 
Oh! that is how you interpret that statement of Mwl. Nyerere, but Nyerere was straight forward on that, hakumung'una maneno, he further added " Kiongozi mzuri hawezi kupatikana nje ya CCM" what more do you want from Nyerere about UKAWA? If you still believe that Nyerere is the father of the Nation, that is what the father has said about opposition parties. Msivunje kioo andoeni tongotongo zenu. Namna ya kuepukana na laana hii ya Nyerere ni kumtongoza kiongozi "safi" kutoka CCM (Mwigullu, Wasira, Sitta, Tibaijuka, Lusinde, Lowassa, au...) aje agombee urais kwa tiketi ya UKAWA, maana baba wa Taifa kasema Kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM. Hata sasa hivi huko UKAWA simuoni mtu mwenye sifa ya kugombea na kushinda urais, hivyo maneno ya Nyerere bado yana hold water ingawa ni Ngumu Kumeza I am very sorry for the truth telling.

Aliyekwambia Viongozi huko CHADEMA,NCCR,CUF na vyama vingine vya upinzani hawakutoka CCM nani?
 
Waungwana huyu jamaa inawezekana ni kada wa ccccm lakin lazima tumweleweshe nyerere hakuwa na maaana ya ya ukawa kusema vile .maaana ya mbwa kwanzs kisiasa mbwa wanatabia ya kulindana iwapo tu wanajuana au ni ndungu kwahiyo alikuwa anamaaanisha kulindana kama hao kina lusinde,wasira,rage,na wengine wenye tabia hizo ni mbwa coz wanateteana mpaka mambo ya taifa kama Epa,Richard monduli (mmiliki mtoto wa lowasda) Pesa ya Rada mpaka wakataka kuwafanyia mpango wa mauti kina slaa kwa nn awaachie mbwa hawa nyerere? Na akasema rafiki yako ukiona anakusumbua ktk kazi ya umma mwambie ikulu ni mahali patakatifu ww hukuchangukiliwa kwenda kupageuza pango la malanguz(chenge,ngereja,tbaijuka werema ,maswi,na rugemalila bado wale wa stambick ambamo sefue nk)
 
Wakati wa mfumo wa chama kimoja ilikuwaje ? Karibu watu wazima wote aua asilimia kubwa walikuwa kama siyo wanachama wa TANU/ASP (CCM) na vijana vilevile wanachama wa umoja wa vijana wa CCM.
 
Back
Top Bottom