Recent content by lifeline

  1. L

    Vipi anakutesa? Tumia pesa!

    Wanawake wote mirupo....unabishaaa????
  2. L

    Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    Mimi Msomali..kweli si kweli
  3. L

    Nimedokezwa na jirani kuwa mume wangu anatembea na mdogo wangu. Nianzie wapi?

    Mfukuze mdogo wako mapema bila hata ya kumpa sababu....
  4. L

    Salum Abubakar"sure boy" imekuwaje ?

    Hivi kwa nini "sure boy"hayupo kwenye Timu ya Taifa?nimeshangazwa na kuachwa kwa Sure boy ,nionavyo Mimi ni mmoja wa holding midfielders wazuri sana kwenye ukanda wetu.wadau wa soka mbona alijazungumziwa hili swala au majeruhi?
  5. L

    Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeistukia UKAWA

    Christian Church Movement (CCM) of Tanganyika
  6. L

    Ubaguzi CHADEMA waanza kumea mpaka kwenye UKAWA

    Christian Church Movement (CCM) of Tanganyika...waislamu mnalijua Hilo
  7. L

    TBC mjifunze kwa KBC

    Nashangaa TBC hawaonyeshi mpira wa Tanzania vs Zimbabwe,wakati KBC wanaonyesha live mechi Kati ya Kenya vs Comoro.TFF kuweni makini hii ni mechi ya Watanzania wote na kila mtu anapaswa kuona live.Duniani kote mechi za Timu za Taifa zinaonyeshwa kwenye Television za serikali.Tujifunze kwa wenzetu.
  8. L

    Mama Kamkataa Mchumba Wangu

    Bongo Tv,ndoo,meza,viti na jokofu ni Mali pia
  9. L

    Mahari kwa wanyakyusa

    Hakuna mke wa bure... 18-Jacob was in love with Rachel and said, “I’ll work for you seven years in return for your younger daughter Rachel.” 19-Laban said, “It’s better that I give her to you than to some other man. Stay here with me.” 20-So Jacob served seven years to get Rachel, but they...
  10. L

    Naombeni ushauri,namempenda binti mlokole

    Ana date wachungaji tu
  11. L

    Mdogo wangu kanisaliti

    Mlaumu aliyeleta Tasnia ya NDOA...ndio kaleta majanga yote..hit n' run mpango mzima(kumegewa ni Siri ya ndani)aliimba rich mavoko mababu wakakasirika wakambania tuzo za Kilimanjaro
  12. L

    Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

    Wamama acheni kuwadanganya mabinti zenu..hao waume zenu walipowaoa walikuwa matajiri?
  13. L

    Baadhi ya maneno ya mpoki KTMA yaliyozua gumzo mitaani

    Parii angeongea French..i grâce Tanzaniens
Back
Top Bottom