Bongo Tv,ndoo,meza,viti na jokofu ni Mali piaKwani mna mali kiasi gani?
Bongo Tv,ndoo,meza,viti na jokofu ni Mali piaKwani mna mali kiasi gani?
Kusema hivo sio kua wazazi au mama anakulazimisha kukuchagulia mke no!! hata mie hakuwahi nichagulia isipokua alinishauli ni mtu gani anafaa na siwezi kukataa ushauri maana APENDAE KIPOFU NA BORA UKOSEE KUJENGA KULIKO UKOSEE KUOA!! na kuhusu mke mchaga binafsi nawaogopa sana na yote ni kutokana na wao kujali sana mali kuliko!! Kusin wangu alipoteza kila kitu kutokana namke mchaga au hujui kisa cha ufoo saroWengine mna bahati mbaya sana. Mungu aendelee kumbariki sana bimkubwa wangu. Sijawahi kuona mama bora kama mama yangu. Upuuzi wa kumchagulia mwanae mwenza hajapata hata kuuwaza.
Kama kuna dada yako au ndugu yeyote wa karibu hebu shaurianeni na bi mkubwa ili umuoe yeye mana hawezi kuhamisha mali zenu. Usipagawe sawa mkuu, hata kwenu wanawake wapo kwa nini uhangaike na hawa usiowajua tena wezi wa mali za watu?Habari wana JF
J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli. Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote. Mpenzi wangu ni Chagga girl, hivyo basi nikaona nimfanyie Suprise ya kiaina bimkubwa nikamtambulishe amjue mkwe wake.
Nikampigia simu mama alifurahi sana, akaniuliza kabila gani? nikamwambia ni mchaga, nilichoka kwa kweli namnukuu, tena ishia hapohapo na kama mko njiani geuza mlipo toka unatuletea mchaga unataka aje ahamishe mali zote kwao.
Tena sitaki kusikia hizo habari"mwisho wa kumnukuu ila my baby hakusikia chochote nikavunga kwamba bimkubwa hayupo home yupo mbali.
Ushauri please nampenda sana huyu msichana na mama nampenda kuliko maelezo.
Bongo Tv,ndoo,meza,viti na jokofu ni Mali pia
Umesahahu vingine, carpet, jiko la mchina, mapazia.......
We mtoto upo?
Sasa waweza kukuta binti
wa watu kwao zimepaki evoques, housemaid wa 3, shopping ya vijiko ni
dubai, sofa leather, home theater system ni alpine e.t.c.
Sasa wewe na mama ako mnavyoviona mali wenzenu vinapatikana servant
quarters! Zaidi zaidi unaweza kufundishwa ku hustle kijana!
elewa lakini bimkubwa kanibeba 9mnth na kanilea hadi hapa nilipo,its my hard time
nimekuelewa mkuuKuwasikiliza Yes, lakini uamuzi unao wewe. Labda useme kama unategemea wakulipie mahari na kukupa kianzio cha maisha lazima uoe chaguo lao badala ya chaguo lako. Vinginevyo Sikiliza lakini waambie umaamua kuoa mchaga kwasababu unaona ndiyo anakufaa kama mke wako na sio mke wa familia au ukoo. Wasikia bwana mdogo.
mbona unapaniki kama ww ndo muoaji punguza jazba nduguKama kuna dada yako au ndugu yeyote wa karibu hebu shaurianeni na bi mkubwa ili umuoe yeye mana hawezi kuhamisha mali zenu. Usipagawe sawa mkuu, hata kwenu wanawake wapo kwa nini uhangaike na hawa usiowajua tena wezi wa mali za watu?
sawa nimekuelewamfate chemba b mkubwa mwambie sio wachaga wote wako namna hiyo , pia mwambie mlipotoka ww na huyo baby wako na jarbu kumuelimisha unajua wazee wa zaman wakishakariri kitu wamekariri jaribu kumuelewesha atakuelewa tu ... ila huyo baby kama mnapendana usimwache mpende sana hayo ni majaribu na katika mafanikio lazima utakutana na majaribu pambana kijana upate haki yakoo ..ni hayo tuuu
mkuu japo najiweza kumbuka lakini kwenye maisha kuna kuanguka takimbilia wp????Kuwasikiliza Yes, lakini uamuzi unao wewe. Labda useme kama unategemea wakulipie mahari na kukupa kianzio cha maisha lazima uoe chaguo lao badala ya chaguo lako. Vinginevyo Sikiliza lakini waambie umaamua kuoa mchaga kwasababu unaona ndiyo anakufaa kama mke wako na sio mke wa familia au ukoo. Wasikia bwana mdogo.
Umefanya vice versa. Theoretically ndoa au mahusiano ni ya watu 2 lkn practically ni ya familia 2. Kinacjobaki cha watu 2 ni tendo lá ndoa tu.