Mahari kwa wanyakyusa

Mahari kwa wanyakyusa

Kimsingi masharti sio magumu sema hali ya kiuchumi imekuwa ngumu pia mabadiliko ya mila na desturi kutokana na maendeleo tunajikuta tunaenda kuoa kwenye community nyingine mfano mpare anaoa muha n.k. hivyo ukikutana na hayo mambo miguu inakuingia tumboni. Zamani iliwezekana watu walioa kwenye the same community hivyo hata kabla ya kuoa mtu anajiandaa na isitoshe jukumu la kulipa mahari lilikuwa ni la baba mzazi hivyo kama baba wengi wao walikuiwa wanajiandaa kwa kufuga mifugo miwili mitatu mpaka vijana wake watakapofika muda wa kuoa linatoka dume moja linakwenda kumaliza issue.

Tatizo madingi wetu wametutosa siku hizi mahari unalipa wewe mwenyewe wakati yeye anaoa alilipiwa na mzee wake, pia kama hela ya sherehe asilimia kubwa utajitutumua mwenyewe though kwenye kikao cha kwanza yeye ndio anajifanya familia tuna kiwango hiki (uzoefu kwa wengi kimjinimjini except wachache)

njooni muoe kwetu pemba mahari nafuu na bado tuna utamaduni wa mzee kulipa mahari me nakumbuka mahari ilikuwa milioni moja na laki mbili na alilipa mzee
 
Ni Kweli Kabisaa Bro Sahivi Yani Anamikakati ya kutoa anachoweza wakigoma anawaachia binti yao.
Binafsi Siwezi Taka Mume Wangu Mtarajiwa Akapigwa Mzinga Mkubwa Kiasi Hicho


Kama zipo atoe ila akienda kukopa ili kulipa mahari basi hatakawia kumweka mke wake poni ili akalipe deni la watu....
 
Kama zipo atoe ila akienda kukopa ili kulipa mahari basi hatakawia kumweka mke wake poni ili akalipe deni la watu....

Walla hata hana huo uwezo wa kuilipa yote,Na Kukopa Hawezi,Ikishindikana Anaghairi Kuoa Unyakyusani
 
Walla hata hana huo uwezo wa kuilipa yote,Na Kukopa Hawezi,Ikishindikana Anaghairi Kuoa Unyakyusani


Ila kama kuna mzazi ambaye anaweza kumzuia bintiye kuolewa kwa sababu ya maharia basi ana matatizo...

Kuna wazazi wengine watafuta hata mtu wa kumchukua binti yao bure wanamkosa...
 
Duh hyo kali hapo akipiga hesabu ni zaid ya milion 3 harafu hapo ni makadilio ya chini maana ng'ombe wapo hadi laki 8 mmoja. Ukija kwetu songea hakunaga ng'ombe, mahari yote inaweza kuwa laki tatu tu mbuzi mmoja, pesa 80000, mkaja wa bibi, shuka, na kamba za mbuz(pesa) so ni vitu ving ila cost yake sio kubwa haifiki hata laki nne.
 
Hapo mahari ni kama milion tatu, sasa kijana wa bodaboda ataoa kweli kwa mwendo huo, hyo milion tatu si mtaji kabisa wa kununua bodaboda yake akarudisha ile ya bosi wake..na chenji inabaki kibao.
 
Mie Nalalama Kwa Sababu Uwezo Wetu Ni Mdogo,
Hebu Chukulia ni wewe umetolewa posa afu mchumba anashindwa kulipa mahari kwa kuwa iko juu na wazew wamegoma mazungumzo,
Kama Unauwezo hata wa kupeleka mahari ya nyumba it's well with you,ila mimi naongelea kijana ambaye hana wazazi wakumsupport anategemea nguvu zake mwenyewe.

Nimekuelewa,,, nijuavyo mimi mahali hatoi kijana peke yake bali baba zake wakubwa/ wadogo huchangia na wajomba zake..... lkn mila zinatofautiana!!!!
Ongea na huyo binti aeleze kwa wazazi wake uwezo wako.
 
yaani ni kama milioni 4 mahari gani hio.! Nashukuru kwetu mahari haizidi laki 6 huwa laki 2, 3 ikienda sana 4.
 
Kosa analo binti, alitakiwa kusema uwezo wa mchumba wake kwa familia ili wasimuumize sana. 3.2M kwa mtu wa kawaida ni pesa nyingi, hapo bado maandalizi ya arusi ambayo pia anatakiwa kugharamia, ukiwa na mchumba mwelewa inakuwa ahueni kidogo, otherwise kuoa kwahitaji kujipanga vilivyo.

Hata nyie wachagga tian sio rahisi kivile, japo kuna unafuu.
 
Last edited by a moderator:
Wanyaki cku hizi hawanaga hzo,ilikuwa zamani enzi hzo wazee wana ng'ombe wengi,cku hizi unalipa unachoweza na mke unaachiwa,ili mradi umepeleka taarifa na kahela kama laki 1 au sh.50 ya kusema nipo nae hasa kwa emergence case kama umempa mimba.
 
Wewe na huyo mshenga wenu wote mna matatizo. Mnatakiwa muweke uwezo wenu wazi hamna mtu anatoka bila mke. Halafu msiogope mahali hailipwi yote hata siku moja. Mkiwa wajuzi laki tano itawatosha sana kulipia kila kitu.
Mwaghona Nambukwa
 
Kwa upande wangu wanyakyusa wanawafamu ni ndugu zangu majirani zangu kaisa kwenye upande wa mahari wako kama Luku kwamba unalipa kulingana na matumizi yako maana yake ni kwamba huwa wanaangalia muoekano wa familia binti yao anapo tarajiwa kuolewa kama muoaji ameenda kwa mbwembwe atafanyiwa mbwembwe hivyo hivyo mpaka chakula atakacho kula atalipia,kama ataenda na kueleza hali halisi ya maisha hawana tabu kabisa,mimi ninao wafahamu walioa wanyakyusa hawakuoa kwa hiyo mahari eti 3.2M hakunaga kitu kama hiyo,Tatizo liko kwa binti maana huwa wanaulizwa wasifu wa mumuwe mtarajiwa mara baada ya kupeleka taarifa ya kupata mchumba labda binti alimnadi huyo kaka yako kuwa yuko vizuri,na kinachonifurahisha ile mahari haibaki kwa wazaz wanagawana mashangazi na ndugu wengine hata kama watapata 200 kila mmoja,asikate tamaa hizo ni mbwembwe tu huyo mke ni wake hata hivyo mahari huwa hawamalizi kulipwa na hakuna aliyewahi kuzuiwa kufunga ndoa eti kisa mahari hajalipa na huwa haidaiwi
 
Yani Wachaga hakuna gharama za kutiliana hasara,
Vitu ni affordable na havimuumizi muoaji
Tena wao wakati unaenda kutoa mahari kwao ni kama umemaliza zoezi na mke unaweza kubeba kabisa na kwenda kumalizia kwa ustadhi au kanisani au bomani kuirasimisha hata kama bila sherehe
 
Nikweli mkuu mm nilijumlisha kila kitu ktk mahari ni 2050000
 
Hakuna mke wa bure... 18-Jacob was in love with Rachel and said, “I’ll work for you seven years in return for your younger daughter Rachel.”

19-Laban said, “It’s better that I give her to you than to some other man. Stay here with me.” 20-So Jacob served seven years to get Rachel, but they seemed like only a few days to him because of his love for her.
 
Back
Top Bottom